Video mpya ya Diamond iliyogharimu million 40...

we mbona unaongea ovyo ovyo tu.wasafi ni kmpuni na kaz pale ni nyingi hivyo nalipwa kwa kaz na majukum niliyonayo pale kupost kitu huku nafanya kwa mpenz yangu coz siwez acha kupost habari zinazohusu CEO wangu nipost habari za Ali kiba...

Hebu jifunze kuandika maneno kwa usahihi,umerekebishwa hapo nyuma lakini huelewi kabisa,usipende kukata maneno kama unatuma text message'
 
Acheni maneno ya kwenye kanga, mshikaji katupa habari mnachonga,,,,mngeandika Nyie basi wa kina YAHAYA...
 
we mbona unaongea ovyo ovyo tu.wasafi ni kmpuni na kaz pale ni nyingi hivyo nalipwa kwa kaz na majukum niliyonayo pale kupost kitu huku nafanya kwa mpenz yangu coz siwez acha kupost habari zinazohusu CEO wangu nipost habari za Ali kiba...

Nipe jina la hiyo Kampuni waliloliandikisha BRELA niangalie.
 
Mbona mnamvamia mleta habari hivyo?!

Diamond lazima awe na wasaidizi na mshikaji kala shavu sio mbaya ila sasa naona hii kazi ya public relation haiwezi naomba angemuachia mwenye kazi yake aje ku-post humu yeye apost yake yanayomhusu kwa diamond...

Wengi wetu tumeajiriwa lakini hiyo haitufanyi kubadilika kijinsia dhidi ya mabosi wetu...kama mchizi ME ataendelea kuwa ME tu.

Big up Diamond japo i dont like your music na life style yako...
 
Ivi izi vudeo za ndege,ferrari,boat nk zinakidhi utamaduni wetu? Au ni kukopy na kupaste mambo ya umarekani? Naomba kuelimishwa
 
we mbona unaongea ovyo ovyo tu.wasafi ni kmpuni na kaz pale ni nyingi hivyo nalipwa kwa kaz na majukum niliyonayo pale kupost kitu huku nafanya kwa mpenz yangu coz siwez acha kupost habari zinazohusu CEO wangu nipost habari za Ali kiba...

Unamaanisha Diamond ni CEO wako?
 
mi nashindwa kuelewa tatizo ni Gharama kubwa au ubora wa video? (ambao sio rangi nzuri,mandhari na vitu vya dhamani kama wengi tufikiriavyo).
 
Wote mliocoment hapo juu mmenifurahisha sana mmekuw na mawazo positive kitu ambacho nikizuri mwenzetu mtanzania mwenzetu anapojitahidi na kufanikiwa maishani basi tuwe na wivu wa maendeleo na si ooh fr mason mara sijui kwa babu jamani ivi hizi juhudi zote za huyu kijana nazo ni freemason haya endeleeni wengine kukaa kijiweni...na kusaga lami mwenzenu akijitahidi kwa ubunifu mbalimbali mseme ni ....sijui.......Blavo DIAMOND ...WEWE NI HABARI NYINGINE!ILA OA SASA WATOTO Mungu akujalie na watoto ili hayuo matunda yasije kuliwa tu na wengine si unayoona ya mama kanumba?
 
Exactly kinachotakiwa ni ubora wa video,mambo ya kuangalia shootin za kibongo kama zimetengenezwa na cm sio ishuu!!respect diamond#ila sifa zitakujaa kama naona vile!
 
me siyo PRO wake kaka,m kitengo kingine kabisa ikiwemo website but jf napenda tu kuleta habari zinazomhusu yeye
By d way..tukutane Alhamis ndani ya Serena ikizinduliwa
 
Ivi izi vudeo za ndege,ferrari,boat nk zinakidhi utamaduni wetu? Au ni kukopy na kupaste mambo ya umarekani? Naomba kuelimishwa

Watanzani kwa wivu ni zaidi ya tuwajuwavyo kwa kweli,so ashoot video akiwa kwwnye mkokoten unaovutwa na ng'ombe ama?tanzania hakuna watu wenye fellari?hawapo wwnye boat?vifaa vya usafiri navyo ni utamaduni kumbe?
 
Na wewe hujatuambia umepewa kiasi gani kwenye hiyo dola elfu 30
 
vijana wengi wasio na kazi,wavivu na wasiopenda kujishughulisha wanapoona mtu ana position flan nzuri coments zao ndio kama nizionazo hapa..wivu tu badala hata uniulize ilikuwaje nikapata fursa ya kuajiliwa nae kama mmoja wa wasaidiz wake tena kwa masirahi makubwa we umekalia kuponda tu,noma sana.
 
hongera dogo!
Ila kama kila aliyeajiriwa atakuja kuweka masifa yake hapa kutakuwa hapatoshi
 
Natanguliza shukrani kwa kunielimisha..sio wivu ndugu..if only u knew me wala usingejibu kwamba ni wivu...thanks any way..
 
I wish ningekua nimesoma this comment before replying to your prior comment...wudnt hv wasted my time replyn to you..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…