Video mpya ya rose muhando,ni balaa..


Wewe unadhani video nzuri ni ambayo imetumia locations nyingi, hadi uone mtu yupo kanisani,beach,nyumbani,mjini ndio ujue imetumia gharama, la hasha fungua macho. Na umetumia simu yako ya elfu 70 ndio maana umesema ni low quality njoo hapa uangalie hii video ikiwa ni HD kwenye smart tv samsung serie 5 ndio utagundua ubora wake na wewe upo nyuma kiasi gani. Sony videos ni sawa wamemuibia Rose ila sio kushindwa kutoa video nzuri.

Ngoja sisi tumuimbie bwana wololo wololo!! We baki na ubora wa video
 

A ngalia kwenye VEVO channel yake official kutoka sony itakuwa na quality zaidi ya youtube.

na VEVO Channel ni ya kimataifa zaidi Rose ni mwanamuziki wa kwanza E.Africa kuwa kutumia VEVO na kwa kitendo tu cha yeye kuweka wimbo pale automatically analipwa achilia mbali itunes, amazon na mauzo mengine
 
wewe unangalizia kwenye nokia ya torch nini?.kaimba vizuri na ujumbe unafika katika upako wake vzr.!
Ujumbe sawa nimeupata,na mauno ni ya kumwaga pia...

"Nlikuwepo":bolt:
 

Vipi kuhusu na ile video ya ONE8 mkuu??

"Nlikuwepo":bolt:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…