Video mpya ya rose muhando,ni balaa..

Video mpya ya rose muhando,ni balaa..

Wololo wollolo wololo!!
mambo ya sony anamake mkwanja wa maana sasa,

ila tokea awali alikuwaga vizuri tu.
 
Wololo wollolo wololo!!
mambo ya sony anamake mkwanja wa maana sasa,

ila tokea awali alikuwaga vizuri tu.
ila sasa kazidisha mauno,kama hamuimbii bwana vile.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Mmhh yale mauno yale yanapunguza upako mara ya kwanza nilihishi tshara muana kawa kijana nn he he he hadi walipotupia jina
 
MFALME DAUD ALICHEZA KWA AJILI YA MUNGU MPAKA NGUO ZAKE ZOTE ZIKADONDOKA...HUYU ROSE HATA KULEGEA HAZIJALEGEA SO KEEP IT UP MADAM ROSE....:flame:
 
video nimeiona..

kwa analysis yangu, hii video ni low quality!! kama kweli imekuwa produced na huyo sony, basi nahisi amemuibia rose kwa kiwango fulani! ukichunguza, karibu nusu nzima ya video, imeshutiwa eneo moja tu, mavazi ni yale yale karibu robo tatu ya video, uchanganyaji wa picha nao ni wa kawaida sana!!!

kwa jinsi huyu sony pictures anavyosifiwa, sidhani kama video ilitakiwa kuonekana kwa jinsi nilivyoiona youtube.. la sivyo atoe sababu ya msingi iliyomfanya iwe hivi.. kama si ulipuaji wa kazi ni nini sasa!! kitendo cha kutumia vazi la aina moja kwa 90% ya video nzima, inakosesha sana ladha ya video kwa watazamaji wake.. abadilishe hilo tafadhali!

video kama hii sioni kama ina viwango hasa vya kutazamwa kimataifa..!! haina tofauti na video zilizoshutiwa na camera ndogo hizi za kupigia picha.. 14mp, 5x zoom..!
 
Back
Top Bottom