Video: Msafara wa CHADEMA kuelekea Shinyanga Usipime! Maandalizi yakamilika

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Vikao vya ndani vinaendelea kurindimishwa na CHADEMA kama ada, hii ni katika ule mpango Mkakati wa Operesheni Haki, ambapo zamu ya Shinyanga ni 28/5/2021.

Sasa huu hapa ndio Msafara wao kuelekea huko, jionee mwenyewe.

Your browser is not able to display this video.



Nyingine hii hapa

Your browser is not able to display this video.
 
CDM gani ....hii hii iliyopoteza wabunge wake zaidi Ya 50? Unawaleta kwenye attention ambayo kwa sasa hawaistahili. Acha Wapambane na hali yao...!

Na wametangaza kutoshiriki Uchaguzi 2025 ...! Hivyo Slope kwa CCM kama vile ilivyokuwa Uchaguzi Wa Serikali Za mtaa Wa Mwaka uleee ambao ndo Kifo Cha CDM kilipoanzia....!
 


mbna kama kitambi cha mbowe kinazidi kua kikubwa na wanasema miezi sita hawana mshahara
 
Kwa tume hii ccm wataongoza mpaka mwisho wa dunia
 
Tume huru ni Kwa aliyeshinda, zaidi ya hapo ni kinyume chake

Ni nini maana ya tume huru??

Kwa Trampoo ndiko makao makuu ya tume huru kidunia, Ila aliposhindwa, hakuitambua tume huru
 
Pay master wa wizara ya fedha ambaye ni mchaga amekwapua zaidi ya billioni 1 ndani ya mwezi mmoja.
 
Jamani mbn sioni kabisa tisheti za cdm mtaani? Ndo imekufa au?!
 
Pay master wa wizara ya fedha ambaye ni mchaga amekwapua zaidi ya billioni 1 ndani ya mwezi mmoja.
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Hawa watu wanamsifia SSH kuwa kaanza vizuri huku wanakwapua.
 
Yaan KWA mbwembwe tu hamjambo ...eti nae ana bodyguard...hhhh....halaf eti anakagua msafara...hhh....dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…