Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Mungu ibariki CHADEMAVikao vya ndani vinaendelea kurindimishwa na CHADEMA kama ada, hii ni katika ule mpango Mkakati wa Operesheni Haki, ambapo zamu ya Shinyanga ni 28/5/2021.
Sasa huu hapa ndio Msafara wao kuelekea huko, jionee mwenyewe.
View attachment 1800682
Nyingine hii hapa
View attachment 1800687
Sent using Jamii Forums mobile app