Video: Msaidizi wa Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo azimia na kuanguka jukwaani wakati kiongozi huyo akiwa anahutubia

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Huko nchini Ghana, mlinzi wa Rais anayemaliza muda wake Nana Akufo-Addo amezua taharuki baada ya kuzimia na kukata moto wakati Rais huyo anahutubia.

Jarida la Punch, limedokeza kuwa mlinzi huyo alianguka muda mfupi tu baada ya Rais huyo anayemaliza muda wake kuanza kuhutubia.

=========================================================

A shocking moment occurred in Ghana's parliament on Friday, January 3, when Colonel Isaac Amponsah, President Nana Akufo-Addo's aide-de-camp (ADC), suddenly collapsed during the president's State of the Nation address.

A viral video showed Col. Amponsah looking visibly uncomfortable before falling to the ground midway through the address. Those nearby quickly rushed to his aid, helping him to his feet and moving him to a corner of the auditorium, where he received medical attention.

Source: Buzzroom Kenya, Modern Ghana

Au ndo maana huku kwetu mbali na huyo ADC, huwa kunakuwa na wengine kama wawili hivi beneath na Mkuu?!
 
Wakuu,

Huko nchini Ghana, mlinzi wa Rais anayemaliza muda wake Nana Akufo-Addo amezua taharuki baada ya kuzimia na kukata moto wakati Rais huyo anahutubia.

Jarida la Punch, limedokeza kuwa mlinzi huyo alianguka muda mfupi tu baada ya Rais huyo anayemaliza muda wake kuanza kuhutubia.

=========================================================

A shocking moment occurred in Ghana's parliament on Friday, January 3, when Colonel Isaac Amponsah, President Nana Akufo-Addo's aide-de-camp (ADC), suddenly collapsed during the president's State of the Nation address.

A viral video showed Col. Amponsah looking visibly uncomfortable before falling to the ground midway through the address. Those nearby quickly rushed to his aid, helping him to his feet and moving him to a corner of the auditorium, where he received medical attention.

Source: Buzzroom Kenya, Modern Ghana

View attachment 3192114

Kitaalamu hii hali ya kudondoka ghafla inaweza kusababishwa na:

-sukari kushuka (hypoglycemia)

-presha ya damu kushuka (hasa kwa mtu anayesimama kwa muda au kusimama ghafla: orthostatic hypotension)

-matumizi ya aina fulani za dawa

-upungufu wa maji mwilini (dehydration)

-hali ya kihisia mfano hasira, maumivu, nk

-maradhi mengine kama vile matatizo ya moyo nk
 
Maisha magumu kwa kila mtu kawaza ada ya wanae weee mpaka kazimia famchezo
 
Back
Top Bottom