mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Yule masanii pendwa mpiga miti, Dudu baya oil chafu kutoka Bujora kisesa.
"Amejikuta katika taharuki kubwa baada kuzimiwa mic katika tamasha la miaka 30 ya bongo fleva kufuatia kauli zake dhidi ya ushoga".
Lakini pia alikwenda mbali zaidi kwa kusema yeye alitibiwa kwa gharama zake mwenyewe na serikali haijawahi kumsaidia chochote (yeye sio ombaomba). Akamalizia kwa kuwaambia mashoga wana makalio magumu kama kokoto