Kwani ukipelekwa hospital sio mzima?Mzima kivipi wakati kapelekwa hospital
Wangeongea sasa hivi mngesema wamelishwa fasta fasta walochoongea, mngependekeza waongee jumatatu!Movie inatengenezwa na wamepewa warning wasiongee chochote sasa hivi mpaka watakapolishwa maneno.
Tumia akili, unadhan kusema amepewa masharti ya kuachiwa, ingekuwa ni upelelez c wangemchukua hao maaskar toka kwa watekaji bila masharti, yaan angeokolewa bila masharti.Namshukuru Mungu kwa kuonekana kwao maaana huku mitaani maneno ya yalikuwa yamesha kuwa mengi kwa serikali. Mungu anaipenda serikali yetu. Hongera JPM kwa kuwa na wapelelezi walio bobea Mungu akubariki aminaa
Kawaida ya bongo njia ya kutaftaMovie inatengenezwa na wamepewa warning wasiongee chochote sasa hivi mpaka watakapolishwa maneno.