Eti tutafanya press conference jumatatu....yaani wabongo tunafanywa mambumbu kiasi hichiNjaa mbaya
Unapelekwa kufanya nini?Kwani ukipelekwa hospital sio mzima?
Hii obviously, Roma alikuwa ameshikiliwa na vyombo nya dola, sasa watanzania tujiulize kwa nini? Je tufanye nini? Maana hata wabunge wetu ambao tumewachagua ( CCM) wanashindwa kusema chochote adharani kwa kuogopa.Mwanasheria wake anasema Roma hayupo vzr kiafya. Wakati anashuka kwenye gari ni dhahiri kabisa roma anaonekana anachechemea. Ukija kwenye maelezo yake Roma anasema yupo vizuri kabisa.
wameambiwa hakuna uhuru usio na mpaka lakini wakaimbishwa na wauza ngada. kama huoni mpaka kaa mbali au utaishia lupango.Movie inatengenezwa na wamepewa warning wasiongee chochote sasa hivi mpaka watakapolishwa maneno.
Mzima kivipi wakati kapelekwa hospital
The guy is in shock, anaonekana psychological hayuko okey!!! Inaonekana hatutapata nafasi yakuujua ukweli, ukimsoma vizuri nikama kuna vitisho vikubwa sana kapewa,
Mwanashera wake anaonekana kama sio mkongwe sana thats why wame muweka pembeni wakati mahoojiano yao yakiendelea, ila totaly nimejiridhisha kunamkono wa serikali ya mkoa katika hili 100%