Movie inatengenezwa na wamepewa warning wasiongee chochote sasa hivi mpaka watakapolishwa maneno.
What the regional government is doing to these kids ain't right at all!!! I hope kunasiku wataumbuka oppenly kabisaaaaa!!! This is murder!!!! and the master mind of all these issues is there pretending to help!!! Kweli TU wajinga nimelia kiukweli!!! Kijana wawatu anaonekana kujikaza but ana internal demage!!!Dah! Wewe ni mzuri wa kusoma watu. Mie pia nimeona hilo la uso wake kuonyesha hofu kubwa. Ngoja tusubiri hiyi Jumatatu kama ataweza kufunguka na kusema kila kitu kilichojiri lakini kwa Serikali hii dhalimu wanaweza kupewa vitisho vya kufa mtu wasiseme chochote kilichojiri.
Tumepigwa changa la macho, Tanzania hakuna uhuru wa habari.Nina wasiwasi kama hiyo Jumatatu wataongea hawa na kama wataongea je, watakuwa tayari kusema ukweli kuhusu yaliyowakuta kuanzia walipotekwa mpaka walipoachiwa hiyo saa tisa za usiku. Ni akina nani waliowateka? Waliwapeleka wapi? sababu za kuwateka ni zipi? Na kwanini walichukua TV, camera na vifaa vyao vingine toka studio? Je vifaa vyao vimerudishwa vikiwa salama? Inasemekana mmoja wao message zake za whatsapp zilikuwa zinasomwa je, ni mhusika ndiye aliyekuwa anazisoma au wahuni waliowateka?
Mkuu umenichekesha na unanitafutia uchochezi bure hhhhahaha watanzia tuna maneno eti inchi iliyochokaHivi Tanzania kuna wateja wa hizo vitu kweli , nchi iliyochoka kama hii kuna wa kununua hayo mambo jamani ? Kutoa ni moyo tu mjomba .
Angalia Mzee Mengi anavyotoa hela kwa walemavu .
What the regional government is doing to these kids ain't right at all!!! I hope kunasiku wataumbuka oppenly kabisaaaaa!!! This is murder!!!! and the master mind of all these issues is there pretending to help!!! Kweli TU wajinga nimelia kiukweli!!! Kijana wawatu anaonekana kujikaza but ana internal demage!!!
wewe huwezi kuelewa kwa sababu uko upande wa watesiKama leo wanaogopa kuongea kwa sababu ya makubaliano waliyoweka,ikifika jumatatu makubaliano yanaexpaya??
Ina maana hao walioweka makubaliano hawajui kama mtaongea jumatatu???
Ni hatari gani unayoiogopa leo ambayo jumatatu hutaiogopa tena????
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Roma akiongea baada ya kutoka hospitali ya Mwananyamala. Amesema yeye na wenzake ni wazima wa afya, kimwili na kiakili na kuwashukuru watanzania wote waliowapigania kipindi cha sintofahamu yao.
Roma amesema kutokana na masuala ya makubaliano yao ya kuachiwa, wameomba kupumzika leo na kesho kisha Jumatatu wataongea kwa kina yote yaliyowapata.
Nadhani moja ya makubaliano kuachiwa ni kutokusema ukweli wa kilichotokea! Unakuwa unapewa kitu cha kusema! Unakuwa umetishwa sana! Unaambiwa ukisema utapotezwa jumla!Mhhhhhhhhhhhhh. Hayo makubaliano ya kuachiwa kama yanawabana sasa wasiongee kitu, ninashindwa kujua jumatatu kama wataongea kwa uhuru au wataongea kwa mujibu wa hayo makubaliano ya kuachiwa.
Tanzania my mamaland!. Tunatabasamu nyuso mioyo ikivuja damu. Nadhani amesahau kuishukuru serikali kati ya wale aliowashukuuru kwa kuwapigania.
Ninatamani na Saanane aachiwe kwa makubaliano ya kuachiwa.
Wapelelezi waliobobea wameshindwa kumkamata "jambazi" Aliyemtolea Nape bunduki hadharani mbele ya waandishi wa habari na picha yake kuonekana kwenye gazeti la Tz daima ukurasa wa mbele! Kweli wamebobea!Namshukuru Mungu kwa kuonekana kwao maaana huku mitaani maneno ya yalikuwa yamesha kuwa mengi kwa serikali. Mungu anaipenda serikali yetu. Hongera JPM kwa kuwa na wapelelezi walio bobea Mungu akubariki aminaa
We acha tu! Unaachiwa kwa makubaliano! Ukiropoka tu wafaaaaaa!!!!Nahisi harufu ya Ukimya wa Ulimboka, baada ya kutoka South Africa.