VIDEO: Msanii Roma na wenzake warejea rasmi uraiani. Kufunguka Jumatatu

Bashite at work. Naombeni wimbo wa Msaga Sumu uitwao "katibu mwenezi"
 
Yule Bashite lazima alikuwa anajua mchezo wote wa kutekwa akina Roma na hivyo kuwajua wahusika waliowateka na kujua waliwekwa wapi kipindi chote walichotekwa. Haiwezekani kabisa aseme watapatikana kabla ya Jumapili na kweli iwe hivyo.


Umesahu kuwa yeye ni mungu wa Dar
 
Without you being neutered one day u will be radicalized and it will be beyond our capability
 
Hakuna kitu hapo, jumatatu tutaambiwa kuna kesi,hawawezi ingilia Uhuru wa mahakama
 
Mkuu nimemtazama Roma kwenye hii video anaonekana anachechemea si yeye Amekutana na akina Ruge kama alivyomtaja pale akina Ruge si watu wa Kukurupuka mkuu kumbuka hata tukio la Kuvamiwa Kwa Clouds FM walivyochelewa kulimwaga

Mi nahisi kesho watakua wakimsaidia ROMA kuipanga Press conference yake tusubiri suala likiwa kwa Ruge anajua sana jinsi ya kulifikisha kwa jamii
 
Baada ya kupatikana msanii Roma na wenzio wataongea rasmi siku ya jumatatu
 
Kama nilimsikiliza vizur Bashite ile siku waliyokutana wasanii, alisema HAITAFIKA JUMAPILI, ROMA NA WENZAKE ATAKUWA AMEPATIKANA. Ukiangalia sn, ni kweli Roma kapatikana Jmosi (haijafika jpili). Kwa lugha nyepesi ni kwamba ALIKUWA ANAJUA KBS NINI KINAENDELEA, aliwezaje kusema itakuwa kabla ya jumapili kama alikuwa hajui alipo??

Yawezekana aliamua kusema na kumtoa kabla ya jpili baada ya kuona nguvu ya wananchi pamoja na wasanii siku ile ili kupitisha siku kadhaa ionekane kma juhudi za kumtafuta zilikuwa zinafanyika.

Nway, tutafika tu. Ila kiukweli usoni ana uoga wa ajabu. I can see from his eyes.
 
Yaani itabidi wenye magazeti waongeze size ya magazeti manake headlines hazitatosha....Roma na wenzie wamepatikana, mkutano wa Nape...
 
Baada ya kupatikana msanii Roma na wenzio wataongea rasmi siku ya jumatatu

Mods tafadhalini tupeni tu thread moja ya kumuhusu Roma Mkatoliki kwani naona sasa kila Mtu ' anaibuka ' tu na ' angle ' ile ile inayofanana na za wengine na ' kukurupuka ' kuileta humu hadi sasa inaboa. Kama vipi na hii nayo itupieni kule na msichoke kuziunganisha tafadhalini.
 
Nawaomba wasanii waunde kikundi cha kuwalinda wote waliotekwa. Ikiwezekana watoroshwe kwenda nchi nyingine inayoweza kuaminiwa kuwahakikishia usalama wao.
Huyu malaika wetu naona kazi ya kulinda raia wa Tanzania bila ubaguzi wa kikabila, kidini na kiitikadi inaonekana kumshinda

Nawatakia kila la heri.
 
Naamini Nape ametumwa kuzima ishu nzima ya Roma. Nape you have the curse of the nation.
 
Kwa hiyo tuwe tumekaa kusubiri aongee??!

Kwani hawajamrudisha akiwa na mdomo ndio anausubiri??

UPUMBAVU CLASSIC.
 
Dah pole sijui na mimi nijiteke unililie ,Mara ya mwisho kuliliwa sijui ilikuwa mwaka gani

"Kamata fursa twende zetu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…