Kila mtanzania mustakhabali wake unaguswa na kauli mbiu ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu hivyo lazima moyoni mwake anaiwaza CHADEMA bila kujali vyama na Inshaallah siku ya kupiga kura alama za Vema urais, ubunge na udiwani zote ni CHADEMA.
Hii video ni ya kutengeneza wewe jamaa ni bingwa wa kufoji. Maana kila document unafoji kama lile bango la Nhif.Haya sasa, msemaji mwingine kaunguza mboga huku!
View attachment 1573237
Kwa hiyo unazifoji makusudi ili uchekeshe watu?Na huwa zinawachoma kweli kweli!
Hahhahaahhaahaa mbavu zangu mi.i.Nondo we ni nondo kweli..kwamba anamlaumu raisi alopita John pombe...hahhaaa huyu wa Sasa ni Magu😀😀😀💃💃😏👍👍! Mashenzi Sana haya manyau pori
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya sasa, msemaji mwingine kaunguza mboga huku!
View attachment 1573237