Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Burn muogope Mungu wako.Kuolewa/kuoa ni wajibu na kuzaa ni majaliwa ya mwenyezi Mungu.Unajuaje kama wanataka mtoto lakni hawapati? Wewe una watoto shukuru Mungu lakini kuna wenzio wanashinda kanisani kwenye mikesha kuomba watoto na wengine kwa kina kalumanzila kutafuta watoto na bado ni ishu.Hana lolote mjasiliamali tu yule, angekuwa anampenda kweli angempatia mwenzake kijimimba, lakini jamaa yupo kimaslahi zaidi.
Kwa nini jamani? na wewe upo deep sana.
Mtarimbo wa nani?
Du sio siri wimbo huu unanikonga moyo, nasubiriaga ijumaa kwa hamu nikacheze mtarimbo doro na ukinikuta nyuma ya mijimama na seketula utanitaka.
Hehehe! Wa Gadner! Nyie wanawake mna mafumbo sana! Gardner asivyoelewa utamkuta naye anaucheza kwa raha zake! Stuka Gadna!
haya GP nisaidie mie hata huo mtalimbo sijui ni nini
mh mie maria magdalena ninyamaze hapo
Ni-PM nikueleze. Ila usiwe mwoga.
Nisiwe muoga....is the thing dangeraous in itself or when acted upon???
ndo sharti hilo? kwani invizibo kakataza kusema hapa hapa?
Mchumba na mimi nataka kuujua mtarimbo,kwani ndio kitu gani? au chakula?Una heri wewe uliyebarikiwa na BWANA! Bado unataka kuujua mtarimbo?
Hehehe! Wa Gadner! Nyie wanawake mna mafumbo sana! Gardner asivyoelewa utamkuta naye anaucheza kwa raha zake! Stuka Gadna!
Mh huku unakotaka kwenda bibie siko!! maana ishu ni maudhui ya wimbo sasa hizi personal details zitaleta hisia tofauti!kichekesho ni kwamba Gadner ndiye wa kwanza kabisaa kuucheza huu wimbo clodis efuemu!!! kwenye jahazi!!!
lakini jide si mjamzito sasa hivi?
Mchumba na mimi nataka kuujua mtarimbo,kwani ndio kitu gani? au chakula?
kichekesho ni kwamba Gadner ndiye wa kwanza kabisaa kuucheza huu wimbo clodis efuemu!!! kwenye jahazi!!!
lakini jide si mjamzito sasa hivi?
Mchumba na mimi nataka kuujua mtarimbo,kwani ndio kitu gani? au chakula?
Huo wimbo ni wa zamani sana enzi za Beni Bati. Hizo zilikuwepo sana miaka ya 1960s na 1970s, nadhani wengi wa wana JF hamkuzikuta hizo. Zilikuwa ndiyo kama miduara ya sasa, zikiongozwa na beni (band) kusindikiza arusi n.k. Labda kama enzi hizi wanavyofanya matarumbeta. Arusi msururu wa magari ulikuwa ukisindikizwa na beni, au mdundiko, hasa Dar es Salaam sijui miji mingine. Nyimbo ziko nyingi lakini huo ulikuwa mmoja wapo uliokuwa maarufu sana enzi zile. Zingine kama 'Mwanionea mpenzi mwenyewe hayupo, mola akipenda mpenzi atamrudisha' pia zilikuwa maarufu sana kwa beni bati. Kahistoria karefu kidogo wana JF, Jay Dee na wana njenje na wengine wanazirudia tu hizo nyimbo.
Tumekuuliza na bht kuwa huu mtalimbo ndio nini?konaball kasema ni chakula cha chiumeni,mie bado sijaelewa.Yani hiki chakula wanakula wanaume tu? hebu fafanueni jamani.Ujauzito aupatie wapi wakati mtarimbo umelala doro? Stuka mshiki!
Tumekuuliza na bht kuwa huu mtalimbo ndio nini?konaball kasema ni chakula cha chiumeni,mie bado sijaelewa.Yani hiki chakula wanakula wanaume tu? hebu fafanueni jamani.
Mkuu umenifumbua macho sana tu, mimi nilidhani ni ubunifu wa kijana kumbe na hii ni plajarizimu pyua.