Mtangazaji wa Kituo cha Runinga cha KBN nchini Zambia amefunguka kuwa yeye na wenzake hawajalipwa mishahara yao.
Kalimina Kabinda alikatisha taarifa ya habari na kuwaumbua waajiri wake mubashara, na kisha kuichapisha video hiyo katika mtandao wa kijamii wa Facebook.
Your browser is not able to display this video.
Pamoja na video hiyo, Kabinda aliandika, “Ndiyo, nilifanya hivyo kwenye matangazo mbashara ya TV kwa sababu waandishi wengi wa habari wanaogopa kuongea, haimaanishi waandishi wa habari hawapaswi kuongea.”
Baada ya video hiyo kuzua gumzo, Mkuu wa Kituo hicho cha Runinga, Kennedy Mambwe alimlaumu Kabinda akisema alikuwa amelewa wakati alipokuwa akisoma taarifa ya habari, lakini hakuzungumzia madai yake.
“KBN ina mfumo mzuri wa kuwasilisha malalamiko ya wafanyakazi wake, hivyo tabia ya Kabinda ni kinyume na maadili tunayosimamia kama Kituo,” taarifa ya Mkuu wa Kituo hicho ilieleza, ikitaja kuchukua hatua za kuwanidhamisha wote wanaohusika.

Hiyo ya kulewa sio pointi ya msingi, inaonesha walipanga wote wanaohusika na kurusha habari. Ingekuwa kama hawakukubaliana, matangazo yangekatwa mara tu alipoanza kuzungumza.
Duh,mwamba ni jasiri na mkweli sana ila jambo hilo linaweza kumgharimu sana ktk carrier yake kwani hata akiacha kazi hapo alipo waajiri wengine uchwara wataogopa kumuajiri
Mtangazaji wa Kituo cha Runinga cha KBN nchini Zambia amefunguka kuwa yeye na wenzake hawajalipwa mishahara yao.
Kalimina Kabinda alikatisha taarifa ya habari na kuwaumbua waajiri wake mubashara, na kisha kuichapisha video hiyo katika mtandao wa kijamii wa Facebook.
Pamoja na video hiyo, Kabinda aliandika, “Ndiyo, nilifanya hivyo kwenye matangazo mbashara ya TV kwa sababu waandishi wengi wa habari wanaogopa kuongea, haimaanishi waandishi wa habari hawapaswi kuongea.”
Baada ya video hiyo kuzua gumzo, Mkuu wa Kituo hicho cha Runinga, Kennedy Mambwe alimlaumu Kabinda akisema alikuwa amelewa wakati alipokuwa akisoma taarifa ya habari, lakini hakuzungumzia madai yake.
“KBN ina mfumo mzuri wa kuwasilisha malalamiko ya wafanyakazi wake, hivyo tabia ya Kabinda ni kinyume na maadili tunayosimamia kama Kituo,” taarifa ya Mkuu wa Kituo hicho ilieleza, ikitaja kuchukua hatua za kuwanidhamisha wote wanaohusika.
Mtangazaji wa Kituo cha Runinga cha KBN nchini Zambia amefunguka kuwa yeye na wenzake hawajalipwa mishahara yao.
Kalimina Kabinda alikatisha taarifa ya habari na kuwaumbua waajiri wake mubashara, na kisha kuichapisha video hiyo katika mtandao wa kijamii wa Facebook.
Pamoja na video hiyo, Kabinda aliandika, “Ndiyo, nilifanya hivyo kwenye matangazo mbashara ya TV kwa sababu waandishi wengi wa habari wanaogopa kuongea, haimaanishi waandishi wa habari hawapaswi kuongea.”
Baada ya video hiyo kuzua gumzo, Mkuu wa Kituo hicho cha Runinga, Kennedy Mambwe alimlaumu Kabinda akisema alikuwa amelewa wakati alipokuwa akisoma taarifa ya habari, lakini hakuzungumzia madai yake.
“KBN ina mfumo mzuri wa kuwasilisha malalamiko ya wafanyakazi wake, hivyo tabia ya Kabinda ni kinyume na maadili tunayosimamia kama Kituo,” taarifa ya Mkuu wa Kituo hicho ilieleza, ikitaja kuchukua hatua za kuwanidhamisha wote wanaohusika.
Ni aibu mtu una chombo cha kazi halafu hukitumii kufikisha kero zako mwenyewe, somo kwa wafanyakazi RFA na sister station StarTV huwa wanatumia watu wa pembeni kudai hawajalipwa
Ukiona pale nyumbani ni ugali maharage mwezi mzima ujue hali ya kifedha ya baba siyo nzuri kule kazini. Ukipayuka mitaani hovyo hovyo ujue unamvunjia heshima baba yako!!

Mwajiri wako siyo Baba yako.
Ukiona mpaka mtu ameamua kusema hadharani ujue kuna maswaibu mengi amekumbana nayo, na huenda hata kuna dalili za kutokulipwa kabisa.