Video : Mtanzania alie mfundisha Tupac kiswahili

Swali ni kwamba yeye ame proove vp hizo spiritual aspect Pac alizo kua nazo?Ni mechanism gani katumia kutuaminisha?
Anasema Yeye ni expert wa 👇👇👇👇

1. The Sacred Art and Science of Spiritual Languages and the Art of Sacred Voxology

2. Ame ya study maisha na muziki wa Tupac na Biggie kwa zaidi ya miaka 20.

3.Ameusoma wimbo Hit Em Up kwa takribani miaka 20.

4. Na kupitia taaluma yake hiyo ( The Sacred Art and Science of Spiritual Languages and Art of Sacred Voxology) ana amini pasi na Shaka yoyote kwamba kwenye Hit Em Up Yule hakuwa PAC ila spirit alie kuwa amempossess PAC.

So kwenye kitabu chake anatumia taaluma yake kuprove his claim beyond any reasonable doubt plus kutoa tafsiri halisi ya kila neno kutoka kwenye kinywa cha Tupac kwenye wimbo Hit Em Up.
 
Hiyo Sacred Art and Science of Spiritual Languages and the Art of Sacred Voxology nani Kai proove???Ameona hiyo mizimu Kwa kutumia kifaa gani ili na sisi tukatumie tuone na kuamini?
 
Ata iprove kuipitia kitabu hicho " Spiritual Aspect of the Song Hit Em Up"

Na kwa videos anazotoa he is making a lot of sense
 
Hiyo Sacred Art and Science of Spiritual Languages and the Art of Sacred Voxology nani Kai proove???Ameona hiyo mizimu Kwa kutumia kifaa gani ili na sisi tukatumie tuone na kuamini?
Kwani Bible na Qur'aan nani kazi prove?
 
Swali ni kwamba yeye ame proove vp hizo spiritual aspect Pac alizo kua nazo?Ni mechanism gani katumia kutuaminisha?
Kwani Bible na Koroani nani kazi prove mkuu? Mi nadhani ni Mambo ya Imani mkuu ndio maana hata yeye kwenye maelezo yake anasema " Ana amini"
 
Upo sahihi kabisa mkuu na kwenye maelezo yake kaweka wazi kwamba Lengo lake sio kuwashawishi watu waamini kile anacho a mini yeye isipokuwa Lengo ni kutaka mashabiki wa Tupac dunia nzima wajue kuwa somewhere on earth kuna mtu ana amini kwamba Tupac alikuwa possessed kwenye wimbo Hit Em Up. Na kusoma kitabu chake unasoma ili kujua sababu kwanini ana amini hivyo
 
Fact
 
Sema hilo dada lina T3 saaf kbs, linafaa kwa matumizi
 
Back
Top Bottom