Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,436
- 14,927
Anasema Yeye ni expert wa ππππSwali ni kwamba yeye ame proove vp hizo spiritual aspect Pac alizo kua nazo?Ni mechanism gani katumia kutuaminisha?
Hii clip huko Tiktok Ina trend hatari. Wanugu wana izungumzia hatari.Ngoma yake nyingine hii hapa.
Atleast unajaribu
View: https://youtube.com/shorts/iuPSakHzdkA?si=b0rehNRClPG0eOAO
Ata iprove kuipitia kitabu hicho " Spiritual Aspect of the Song Hit Em Up"Hiyo Sacred Art and Science of Spiritual Languages and the Art of Sacred Voxology nani Kai proove???Ameona hiyo mizimu Kwa kutumia kifaa gani ili na sisi tukatumie tuone na kuamini?
πππππ
Kwani Bible na Qur'aan nani kazi prove?Hiyo Sacred Art and Science of Spiritual Languages and the Art of Sacred Voxology nani Kai proove???Ameona hiyo mizimu Kwa kutumia kifaa gani ili na sisi tukatumie tuone na kuamini?
Kwani Bible na Koroani nani kazi prove mkuu? Mi nadhani ni Mambo ya Imani mkuu ndio maana hata yeye kwenye maelezo yake anasema " Ana amini"Swali ni kwamba yeye ame proove vp hizo spiritual aspect Pac alizo kua nazo?Ni mechanism gani katumia kutuaminisha?
Upo sahihi kabisa mkuu na kwenye maelezo yake kaweka wazi kwamba Lengo lake sio kuwashawishi watu waamini kile anacho a mini yeye isipokuwa Lengo ni kutaka mashabiki wa Tupac dunia nzima wajue kuwa somewhere on earth kuna mtu ana amini kwamba Tupac alikuwa possessed kwenye wimbo Hit Em Up. Na kusoma kitabu chake unasoma ili kujua sababu kwanini ana amini hivyoKwani Bible na Koroani nani kazi prove mkuu? Mi nadhani ni Mambo ya Imani mkuu ndio maana hata yeye kwenye maelezo yake anasema " Ana amini"
FactUpo sahihi kabisa mkuu na kwenye maelezo yake kaweka wazi kwamba Lengo lake sio kuwashawishi watu waamini kile anacho a mini yeye isipokuwa Lengo ni kutaka mashabiki wa Tupac dunia nzima wajue kuwa somewhere on earth kuna mtu ana amini kwamba Tupac alikuwa possessed kwenye wimbo Hit Em Up. Na kusoma kitabu chake unasoma ili kujua sababu kwanini ana amini hivyo
πππππFact
FactKwani Bible na Qur'aan nani kazi prove?
ππππFact