Video: Mtanzania amdunda mchina kazini

Kumbe sio Kila mchina anajua Kung Fu😀😀
Hawa wanakuja siku izi naona ni matupu..ila kuna mwaka ule wachina wana tandika mabomba ya maji pale kimara Dsm basi kuna kibarua mmoja alijifanya mkaidi alichezea kung fu pale site hakuamini alichokivuna
 
Hii tabia ya kishamba watu wanapigana sehemu yenye vitu vya hatari vyuma watu wako bizze kuchukua video je mmoja angechukua chuma akamuuwa mwenzie yaani kuna watu wa ajabu kweli
Discipline kwanza ndio mpango mzima
 
Daaaaah wachina sikuizi wamekuwa feki, kila siku wanapewa vitasa vya kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…