VIDEO: Muamuzi ligi daraja la kwanza akumbana na kipigo cha mbwa mwizi

Safi sana! !!!! Wanaua mpira kwa njaa zao mbwa haooo!!
 
Hizo ndo zinahusika mkuu
1476710708603.jpg

1476711184898.jpg

Hapa wachezaji wa Yanga wakimshambulia Israel Mkongo
1476711195570.jpg

Bondia wa Yanga akilia baada ya kuzuiliwa asiendelee kumpiga refa
CC Dragoon, na wanazi wa yanga zoezi la kupiga marefa ambalo mwalimu ni Yanga Simba bado hatujaona kama ni njia mbadala Wa kulekebisha marefa... nitakuja na ya kungoa viti tuone nalo no nani mwalimu wa haya yote...
Bisha mbishavyo mnyama mwaka huu hana wa kumzuia....
 
View attachment 419647
View attachment 419648
Hapa wachezaji wa Yanga wakimshambulia Israel Mkongo
View attachment 419649
Bondia wa Yanga akilia baada ya kuzuiliwa asiendelee kumpiga refa
CC Dragoon, na wanazi wa yanga zoezi la kupiga marefa ambalo mwalimu ni Yanga Simba bado hatujaona kama ni njia mbadala Wa kulekebisha marefa... nitakuja na ya kungoa viti tuone nalo no nani mwalimu wa haya yote...
Bisha mbishavyo mnyama mwaka huu hana wa kumzuia....
Hahaaaaaa. Umeona uzi unavyong'aa huo lakini?
 
Ambao mkicheza nao lazima mbebwe ili angalau mpate sare...
Msimu uliopita tuliwachapa nje ndani. Msimu huu mmetoa sare basi mnaongeeeea kama ndo mmechukua ubingwa.
Sisi tunaongea na wakimataifa wenzetu, mambo ya ndondo hatutaki
 
Labda kama hukuangalia mpira Mimi ninavyojua Simba 2 na Vyura FC 0...mengine tunawaachia tff na marefa wao...
 
Mechi ya Coastal Union vs KMC muamuzi akila kichapo baada ya Coastal kutoridhishwa na maamuzi yake kwenye mchezo wa ligi daraja la kwanza uwanja wa Mkwakwani Tanga.

Kama baba kama mwana. Sema tu hapo hapakuwa na viti vya kung'oa
 
Back
Top Bottom