Ngoja nikuweke za njano na kijani..usitoke...Jezi nyekundu hazina maana kabisa, ukizivaa tu unakuwa hujitabui
Hizo ndo zinahusika mkuuNgoja nikuweke za njano na kijani..usitoke...
Hizo ndo zinahusika mkuu
Ndiyo Tanzania yetu kwani hujawahi kuona mechi ya daraja la 1 hakuna ambulance...Mbona askari anaemwokoa yupo peke yake?
Hahaaaaaa. Umeona uzi unavyong'aa huo lakini?View attachment 419647
View attachment 419648
Hapa wachezaji wa Yanga wakimshambulia Israel Mkongo
View attachment 419649
Bondia wa Yanga akilia baada ya kuzuiliwa asiendelee kumpiga refa
CC Dragoon, na wanazi wa yanga zoezi la kupiga marefa ambalo mwalimu ni Yanga Simba bado hatujaona kama ni njia mbadala Wa kulekebisha marefa... nitakuja na ya kungoa viti tuone nalo no nani mwalimu wa haya yote...
Bisha mbishavyo mnyama mwaka huu hana wa kumzuia....
Kwani hoja ni Uzi kung'aa au ni matendo ya kifedhuli ya wachezaji na mashabiki wenu...Hahaaaaaa. Umeona uzi unavyong'aa huo lakini?
Angalia wa kimataifa hawaKwani hoja ni Uzi kung'aa au ni matendo ya kifedhuli ya wachezaji na mashabiki wenu...
Huna hoja tena....
Unataka hoja ya kuvunja viti nini mkuuHuna hoja tena....
...ya Mbeleko FC aka Vyura FC...Unataka hoja ya kuvunja viti nini mkuu
Mikia wa mchangani?...ya Mbeleko FC aka Vyura FC...
Ambao mkicheza nao lazima mbebwe ili angalau mpate sare...Mikia wa mchangani?
Msimu uliopita tuliwachapa nje ndani. Msimu huu mmetoa sare basi mnaongeeeea kama ndo mmechukua ubingwa.Ambao mkicheza nao lazima mbebwe ili angalau mpate sare...
Labda kama hukuangalia mpira Mimi ninavyojua Simba 2 na Vyura FC 0...mengine tunawaachia tff na marefa wao...Msimu uliopita tuliwachapa nje ndani. Msimu huu mmetoa sare basi mnaongeeeea kama ndo mmechukua ubingwa.
Sisi tunaongea na wakimataifa wenzetu, mambo ya ndondo hatutaki
Mechi ya Coastal Union vs KMC muamuzi akila kichapo baada ya Coastal kutoridhishwa na maamuzi yake kwenye mchezo wa ligi daraja la kwanza uwanja wa Mkwakwani Tanga.
mtapanda ndege lini?,saiz yenu maji majiAmbao mkicheza nao lazima mbebwe ili angalau mpate sare...
kupanda ndege ili ukaaibike ni upuuzi...mtapanda ndege lini?,saiz yenu maji maji