PreGE2025 Video, Musoma kwa kauli moja: "No Reforms, No Elections" - Msimamo wa Nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nafikiri mnajionea wanaJF jinsi nyumbu wanavyozidi kupagawa
Nyumbu mume wako ambaye ameshindwa kukupachika mimba hadi unakoma hedhi,ungekuja kwangu ungepata mtoto lakini ndiyo hivyo too late au alikua anaingiza tundu ya taka ngumu,pole mshangazi.
 
Upinzani unapiyia wakati mgumu miaka yote...

Wakati wa JPM, walipigwa biti hakuna kufanya siasa kwa miaka yote ya utawala wa JPM hadi wakati wa uchaguzi tu...

Kaja SSH, yeye karudisha utaratibu wa kikatiba wa kuendesha siasa za majukwaa lakini wapinzani wamejaziwa virusi huko huko walipo kiasi kwamba wale wale waliokuwa wanapigana wakati wa JPM kupata mabadiliko ya haki ya uchaguzi, sasa hivi wanasema hawataki mqbadiliko ya haki ya uchaguzi bali wanataka uchaguzi...
 
Na bado upinzani haujafa
 
Nyumbu mume wako ambaye ameshindwa kukupachika mimba hadi unakoma hedhi,ungekuja kwangu ungepata mtoto lakini ndiyo hivyo too late au alikua anaingiza tundu ya taka ngumu,pole mshangazi.
Ndugu mwaJF, kutana na Nyumbu wa chadema chakavu aliyepigwa tone tone la maana kupitiliza......huwa wanatokwa na akili kama hivi.
 
Wewe unayeshabikia CCM iliyoshindwa ku deliver kwa zaidi ya miaka 60 ndiye punguani kabisa hata ID yako unaonyesha ni zero brain
 
Dr slaa voice , dawa ya chura kiziwi ,ni no reforms no election...anasema inaenda kutoa nta kwenye masikio ya chura kiziwi
 
Yule bibi,hadi masikio yatoke damu ndipo atasikia.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kupiga kura au kugombea,ukiufahamu mfumo wa Tume ya uchaguzi na muundo wa ccm.
Well said. Kuna haja gani kushiriki uchaguzi ambao chama fulani kinajiamulia kinavyotaka kwa msaada wa tume na polisi.
 
Back
Top Bottom