Video: Mvua kubwa ilivyosababisha athari mitaa ya Mwanza, leo Desemba 10, 2023

Video: Mvua kubwa ilivyosababisha athari mitaa ya Mwanza, leo Desemba 10, 2023

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Hizi ni video zinaonesha hali ilivyokuwa asubuhi ya Desemba 10, 2023 katika Mitaa ya Uhuru na Liberty Jijini Mwanza ambapo mvua kubwa iliyonyesha maeneo tofauti imesababisha uharibifu wa baadhi ya vitu na miundombinu.








 
Tatizo kwa mkoa wa mwanza ni miundombinu ni ya hovyo sana
Na kinachosababisha maafa ni mto kenge ali maarufu mto mirongo
Hebu jiulize daraja la buzuruga stand ambalo linapokea maji ya matawi ya mito mitatu nyasaka kangae na mecco
Telemka tena daraja la mwananchi unanganisha mto unaotoka mahina haya maji yote yanaelekea mabatin ambako miundombinu ni ya hovyo halafu mto wameubana sana na ujenzi holela jumlisha takataka
Hapo tegemea maafa umeona mitaa ya coconut hotel karibu na mto wauza mapipa yalivyosombwa
 
Hayo ni maji yanayotafuta njia ya kuelekea yanakopaswa kuelekea...

Mafuriko sehemu za mijini ni sababu ya ujenzi holela na ukosefu wa miundombinu ya kubeba maji taka...
Sahihi mto umebanwa sana kuanzia buzuruga pia midomo ya madaraja ni midogo sana daraja la buzuruga stand mwananchi mwanza food mabatin yote yanahitaji kupanuliwa na pia mto usafishwe uchafu umezidi
 
Raia wameyachokoza maji kwa kuamua kuibaka mipango miji kwa kujenga kwenye njia za maji
 
Back
Top Bottom