Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Ndo kwanza December,
Mwaka huu, mvua ni nyingi sana, Mungu atusaidie!
Poleni sana aisee
Kwa geographia ya mwanza ilivyo haikupaswa kuwa na mafurikoInashangaza ziwa lipo karibu kuweza kuelekeza mifereji huko ili kukabiliana na mvua kama hizi.
Hii ni shida sanaNdo kwanza December,
Mwaka huu, mvua ni nyingi sana, Mungu atusaidie!!
Sahihi mto umebanwa sana kuanzia buzuruga pia midomo ya madaraja ni midogo sana daraja la buzuruga stand mwananchi mwanza food mabatin yote yanahitaji kupanuliwa na pia mto usafishwe uchafu umezidiHayo ni maji yanayotafuta njia ya kuelekea yanakopaswa kuelekea...
Mafuriko sehemu za mijini ni sababu ya ujenzi holela na ukosefu wa miundombinu ya kubeba maji taka...
Hii ni shida sana
Tatizo ni ujenzi holela na miundombinu mibovu inatugharimuNdo kwanza December,
Mwaka huu, mvua ni nyingi sana, Mungu atusaidie!!
Inahuzunisha sanaShida inaanzia kwa watawala wenye mamlaka mpaka wananchi nao ni sehemu ya shida hizi
Kuna wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi na kuna maafisa wa mipango miji mpaka leo huwa sijui kazi yao ni ipi haswaInahuzunisha sana
Tatizo ni ujenzi holela na miudombinu mibovu inatugharimu
Kazi yao wameisahau naonaKuna wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi na kuna maafisa wa mipango miji mpaka leo huwa sijui kazi yao ni ipi haswa