PreGE2025 VIDEO: Mvutano mkali kati ya Viongozi wa CHADEMA na Polisi Ruvuma baada ya Mkutano wa Hadhara Kuzuiwa

PreGE2025 VIDEO: Mvutano mkali kati ya Viongozi wa CHADEMA na Polisi Ruvuma baada ya Mkutano wa Hadhara Kuzuiwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mvutano umeibuka baina ya viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma baada ya jeshi hilo kuzuia kufanyika kwa mkutano wa hadhara uliopangwa kufanyika leo katika viwanja vya Shule ya Msingi Songea.

Katika video hii inamuonyesha Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, Mjumbe wa Kamati Kuu Godbless Lema, Mwenyekiti wa BAVICHA Deogratius Mahinyila, Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi Brenda Rupia pamoja na wanachama wengine wakibishana na viongozi hao wa jeshi la polisi.

 
Mapolisi wanatumika kuharibu chaguzi za Tanzania.
 
Vyama vya Upinzani viko kisheria na Kikatiba Mikutano iko kisheria na Kikatiba sasa hawa Polisi wao ndio wanovunja SHERIA.
 
Back
Top Bottom