Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hatari !!Huyu ni LISSU leo hii Mwanza
View attachment 1580964
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Nabii na mtume Mwingira yupo sahihi. Lissu hakujenga flyover, hana mabango, hana wasanii, hana media, lakini ana nyomi ya watu kila anapokwenda. Nyomi yenye furaha na amani. Nyomi inayotabasamu ikipumua Uhuru, haki na maendeleo ya watu. Nyomi inayosahau matatizo yao na kumuita lissu Rais. Kuna siri ya Mungu ndani ya nafsi hii ya Lissu.Hii ndio habari inayozunguka huko Hai kwa sasa , ni katika Mikutano ya kampeni ya Mgombea ubunge wa Jimbo hilo Mh Mbowe , Waziri Mkuu ajaye ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa , anayeitwa Kaka wa Taifa
Nisimalize uhondo , jionee mwenyewe
View attachment 1580958
Mataahira ya Lumumba yakiongozwa na mwenyekiti wao yanasema hii ni wakati wa Lowassa!Huyu ni LISSU leo hii Mwanza
View attachment 1580964
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hongera kwa sinema, tumemzoea, kwisha habari yake.Hii ndio habari inayozunguka huko Hai kwa sasa , ni katika Mikutano ya kampeni ya Mgombea ubunge wa Jimbo hilo Mh Mbowe , Waziri Mkuu ajaye ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa , anayeitwa Kaka wa Taifa
Nisimalize uhondo , jionee mwenyewe
View attachment 1580958
Joined Sunday .Hongera kwa sinema, tumemzoea, kwisha habari yake.
Yule OCD anajiua.Hii ndio habari inayozunguka huko Hai kwa sasa, ni katika Mikutano ya kampeni ya Mgombea ubunge wa Jimbo hilo Mh Mbowe, Waziri Mkuu ajaye ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa anayeitwa Kaka wa Taifa.
Nisimalize uhondo, jionee mwenyewe
View attachment 1580958
Mungu ibariki CHADEMAHii ndio habari inayozunguka huko Hai kwa sasa, ni katika Mikutano ya kampeni ya Mgombea ubunge wa Jimbo hilo Mh Mbowe, Waziri Mkuu ajaye ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa anayeitwa Kaka wa Taifa.
Nisimalize uhondo, jionee mwenyewe
View attachment 1580958
Duh chairperson wetu nomaHii ndio habari inayozunguka huko Hai kwa sasa, ni katika Mikutano ya kampeni ya Mgombea ubunge wa Jimbo hilo Mh Mbowe, Waziri Mkuu ajaye ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa anayeitwa Kaka wa Taifa.
Nisimalize uhondo, jionee mwenyewe
View attachment 1580958