njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
hiyo siyo excuse kwa sababu walifumua kikosi kizima na walijua haya,no excuse hapo ni uzembe wao tuWe jamáa inaonekana huujui mpira kabisa zaidi ya ushabiki ushabiki tu.
Timu ina wachezaji wengi wapya waliosajiliwa, inahitaji muda kukaa pamoja na kuzoeana.
Benchi la ufundi nalo ni jipya hvyo wanahitaji muda kuwafahamu wachezaji waliopo, kumbuka hakukuwa na mechi za pre-season
Hvyo kwa hali ilivyo si sawa hata kidogo kuhukumu performance ya timu kwa mechi moja tu,,, tuwape angalau mechi tano ili Kocha angalau awajue wachezaji aliowakuta
Kocha kama Sven au Aristica Cioba wa Azam wakiboronga ndio tutawahukumu kwasababu wanaingia msimu wa pili wakiwa na timu zao hizo hizo
Mzungu hakoseimbona unamlaumu Mwambusi na sio mzungu?
SIYO MIMI BOSS NIMEREPORT WASHABIKI KINDAKINDAKI WA YANGA wanalalamika usinisakame nimeweka na video mkuuWe jamáa inaonekana huujui mpira kabisa zaidi ya ushabiki ushabiki tu.
Timu ina wachezaji wengi wapya waliosajiliwa, inahitaji muda kukaa pamoja na kuzoeana.
Benchi la ufundi nalo ni jipya hvyo wanahitaji muda kuwafahamu wachezaji waliopo, kumbuka hakukuwa na mechi za pre-season
Hvyo kwa hali ilivyo si sawa hata kidogo kuhukumu performance ya timu kwa mechi moja tu,,, tuwape angalau mechi tano ili Kocha angalau awajue wachezaji aliowakuta
Kocha kama Sven au Aristica Cioba wa Azam wakiboronga ndio tutawahukumu kwasababu wanaingia msimu wa pili wakiwa na timu zao hizo hizo
kuna video mkuu halafu mimi siyo utopolo niko upande wa mrembo wa ki brazil nawasilisha tu mawazo ya wana utopolo na video juumbona unamlaumu Mwambusi na sio mzungu?
muunganiko lin kaka kama unachelewa tuwachomee na machine ya welding waunganike,sasa carlos kukasirika hadi kuondoka mechi haijaisha ni nini? halafu wenzake hawampendi dogo anaringa kishenzi hahahahahahaaWe jamáa inaonekana huujui mpira kabisa zaidi ya ushabiki ushabiki tu.
Timu ina wachezaji wengi wapya waliosajiliwa, inahitaji muda kukaa pamoja na kuzoeana.
Benchi la ufundi nalo ni jipya hvyo wanahitaji muda kuwafahamu wachezaji waliopo, kumbuka hakukuwa na mechi za pre-season
Hvyo kwa hali ilivyo si sawa hata kidogo kuhukumu performance ya timu kwa mechi moja tu,,, tuwape angalau mechi tano ili Kocha angalau awajue wachezaji aliowakuta
Kocha kama Sven au Aristica Cioba wa Azam wakiboronga ndio tutawahukumu kwasababu wanaingia msimu wa pili wakiwa na timu zao hizo hizo
Umenikosha hapo kwa mrembo mkuu, Ntachagua mechi moja nikae 'platnum' ili walau nipate harufu ya Pafurme yake kama si kushika mkono wake. Hoi bin taaban.kuna video mkuu halafu mimi siyo utopolo niko upande wa mrembo wa ki brazil nawasilisha tu mawazo ya wana utopolo na video juu
yaani najua lazima mwamedi kaakaa pale kama hajakaa namumaninia mwanangu magori maana kuanzia kina mange kimambi,rachel temu,hoyce temu,nancy sumari,irene kiweia wote kapitia mshenzi yuleUmenikosha hapo kwa mrembo mkuu, Ntachagua mechi moja nikae 'platnum' ili walau nipate harufu ya Pafurme yake kama si kushika mkono wake. Hoi bin taaban.
Mwambusi sio kocha mkuu halafu huyo carhinos ndio hovyo kabisaKaseke siyo mtu wa kuanza daaah TUMEFELI SANA KEPTENI GANI YULE
Kaseke hafai, chimbi hafai mchezaji wa bei ghali carlinhos kakasirika kaenda vyumbani kabla mpira haujaisha, mwambusi hafai afukuzwe.
Wananchi tunadhalilika wakati tuna wachezaji wa bei ghali unamuweka nchimbi kweli? Kaseke rti captain?
Kwani Mwambusi ndo kawasajiri Kaseke na Nchimbi au kamkuta? Hao unaowaponda wote ni wachezaji wanatakiwa kuchezaKaseke siyo mtu wa kuanza daaah TUMEFELI SANA KEPTENI GANI YULE
Kaseke hafai, chimbi hafai mchezaji wa bei ghali carlinhos kakasirika kaenda vyumbani kabla mpira haujaisha, mwambusi hafai afukuzwe.
Wananchi tunadhalilika wakati tuna wachezaji wa bei ghali unamuweka nchimbi kweli? Kaseke rti captain?
Mwambusi alimdanganya mzungu kocha wa makombe,,ila mzungu keshasema wachezaji wa kitanzania hawawezi dakika 90 wanzengua mziki wa kina kalinyo na wakongo huuKwani Mwambusi ndo kawasajiri Kaseke na Nchimbi au kamkuta? Hao unaowaponda wote ni wachezaji wanatakiwa kucheza
Niyonzima je naye ni hovyo? Niyonzima wakuwekwa benchi na hao akina Kaseke na Nchimbi kwenye mechi muhimu kama ile unayohitaji point tatu muhimu? Mwambusi analaumiwa sio kwavile ni kocha mkuu bali yeye ni mzoefu na ligi ya Tanzania hivyo anajua ugumu wa Prisons.Mwambusi sio kocha mkuu halafu huyo carhinos ndio hovyo kabisa
Hadi waelewane mzunguko wa pili utakua umeshaanza.We jamáa inaonekana huujui mpira kabisa zaidi ya ushabiki ushabiki tu.