Video: Mwambusi anatuharibia team. Kaseke, Nchimbi hawafai. Kalinyo alisusa

Video: Mwambusi anatuharibia team. Kaseke, Nchimbi hawafai. Kalinyo alisusa

Huyu kocha analeta mpira wa kizamani..huwezi kucheza na mawinga pande zote..Tusila na Farid wagombee nafasi ya winga wa kushoto..kulia hakuna haja ya kuwa na winga..Haruna atokee kulia..Feisal au Carlinhos namba nane..Holding midfielder Tonombe na Defensive midfielder Mauya..hatoki mtu..mbele Sarpong au Sogne..beki walewale au acheze Moro
 
kalinyo hataki tena kukaa hapa bongo kachoka mtoto laini bado hajafika uwanja wa kasim majaliwa atajikojolea
 
Kiukweki hata Mimi nilishangaa, Nchimbi na Kaseke sio wachezaji wa Kuanza, Hata Abdallah Shaibu Ni vile tu Prison hawakuwa na Washambiaji wakali. Mwamnyeto acheza na Lamine au Makapu. Tonombe na Mauya waanze wote, halafu Tuisila, Feisal, na yeyote Kati Muangola, Haruna na Farid aanze. Hao wengine wate kinachowafaa benchi
 
Niyonzima je naye ni hovyo? Niyonzima wakuwekwa benchi na hao akina Kaseke na Nchimbi kwenye mechi muhimu kama ile unayohitaji point tatu muhimu? Mwambusi analaumiwa sio kwavile ni kocha mkuu bali yeye ni mzoefu na ligi ya Tanzania hivyo anajua ugumu wa Prisons.
Mwambusi siyo wa kulaumiwa kama unajua mfumo wa benchi la ufundi.

Kocha msaidizi hanaga say mpaka ashirikishwe na kocha mkuu.

Yanga wenyewe walijichanganya. Hakukuwa na sababu ya kuleta kocha mzungu kwa muda uliobakia. Wangebaki tu na Mwambusi wakampa na mzawa mwingine baasi.
 
Tuwe wakweli, Kaseke alicheza vizuri ile game, hakuwa na bahati ya kufunga, nadhani uliona hata akigongesha mwamba. Nchimbi gemu ilimkataa, tusiwe wepesi kuanza kukosoa timu.
Kaseke siyo mtu wa kuanza daaah TUMEFELI SANA KEPTENI GANI YULE

Kaseke hafai, chimbi hafai mchezaji wa bei ghali carlinhos kakasirika kaenda vyumbani kabla mpira haujaisha, mwambusi hafai afukuzwe.

Wananchi tunadhalilika wakati tuna wachezaji wa bei ghali unamuweka nchimbi kweli? Kaseke rti captain?
 
Huyo kalinyo anajiona supastaa si kaja juzi tu.
Ameshaanza kususaaaa.?.
Yule mapokezi yenu ya kumbeba juu juu yule jamaa yatawapa laana

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Bora huyu anamlaumu assistant coach,kuna mmoja analaumu waamuzi na kamati ya ligi kuwa wameionea Yanga na kama wakiendelea kuchezesha kama vile watavamia uwanja.

Nimejiuliza hivi hawa yanga ni watu kamili au wana matatizo ya akili?Maana timu iko pungufu dakika 10 mna wachezaji wakubwa,mnashindwa kugunga goli?

Halafu wanalaumu kuwa zilipofanyika sub mpira ukabadilika na wakaanza kufanya vizuri,wanasahau kuwa timu pinzani ilikuwa pungufu
 
tunaonewa hadi na CAf wameiweka simba ya 23 afrika sisi wa 65 halafuy wan ipost kila siku
champions.png
 
kuna video mkuu halafu mimi siyo utopolo niko upande wa mrembo wa ki brazil nawasilisha tu mawazo ya wana utopolo na video juu
Kanjibhai anawafila kwelikweli,kamuweka nyumba ndogo yake mnachekelea.Atawatoa hadi bikra za pua mbwa nyie
 
Back
Top Bottom