kalinyo hataki tena kukaa hapa bongo kachoka mtoto laini bado hajafika uwanja wa kasim majaliwa atajikojoleaHuyu kocha analeta mpira wa kizamani..huwezi kucheza na mawinga pande zote..Tusila na Farid wagombee nafasi ya winga wa kushoto..kulia hakuna haja ya kuwa na winga..Haruna atokee kulia..Feisal au Carlinhos namba nane..Holding midfielder Tonombe na Defensive midfielder Mauya..hatoki mtu..mbele Sarpong au Sogne..beki walewale au acheze Moro
Mwambusi siyo wa kulaumiwa kama unajua mfumo wa benchi la ufundi.Niyonzima je naye ni hovyo? Niyonzima wakuwekwa benchi na hao akina Kaseke na Nchimbi kwenye mechi muhimu kama ile unayohitaji point tatu muhimu? Mwambusi analaumiwa sio kwavile ni kocha mkuu bali yeye ni mzoefu na ligi ya Tanzania hivyo anajua ugumu wa Prisons.
Siukumbuki vzr ila uko jukwaa la elimu
Yanga mshaanza kumpa kocha sababu za kujitetea. Unaona ashaanza visingizio km vya wakina zahera na yule aliyewabatiza unyani
Kaseke siyo mtu wa kuanza daaah TUMEFELI SANA KEPTENI GANI YULE
Kaseke hafai, chimbi hafai mchezaji wa bei ghali carlinhos kakasirika kaenda vyumbani kabla mpira haujaisha, mwambusi hafai afukuzwe.
Wananchi tunadhalilika wakati tuna wachezaji wa bei ghali unamuweka nchimbi kweli? Kaseke rti captain?
tunaonewa hadi na CAf wameiweka simba ya 23 afrika sisi wa 65 halafuy wan ipost kila sikuBora huyu anamlaumu assistant coach,kuna mmoja analaumu waamuzi na kamati ya ligi kuwa wameionea Yanga na kama wakiendelea kuchezesha kama vile watavamia uwanja.
Nimejiuliza hivi hawa yanga ni watu kamili au wana matatizo ya akili?Maana timu iko pungufu dakika 10 mna wachezaji wakubwa,mnashindwa kugunga goli?
Halafu wanalaumu kuwa zilipofanyika sub mpira ukabadilika na wakaanza kufanya vizuri,wanasahau kuwa timu pinzani ilikuwa pungufu
Kanjibhai anawafila kwelikweli,kamuweka nyumba ndogo yake mnachekelea.Atawatoa hadi bikra za pua mbwa nyiekuna video mkuu halafu mimi siyo utopolo niko upande wa mrembo wa ki brazil nawasilisha tu mawazo ya wana utopolo na video juu
hasira na wivu hadi matusi tena?uto kama utoKanjibhai anawafila kwelikweli,kamuweka nyumba ndogo yake mnachekelea.Atawatoa hadi bikra za pua mbwa nyie