Video: Mwanamke aliyetambulika kwa jina la 'Rose' adaiwa kutekwa maeneo ya Mlimani City

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Huyu Dada kajulikana kwa jina moja Rose, Leo akiwa maeneo ya Mlimani City amevamiwa na watu Wasiojulikana, wamemchukua na kuondoka nae.

Mashuhuda wanasema baadhi ya watu walijaribu kuwahoji waliomchukua kwamba wao ni akina nan? Wametokea wapi? Na wanampeleka wapi Rose? Wakaishia kupigwa.Tukio limetokea masaa mawili yaliyopita, Hakuna aliyesalama Ndugu zangu

Your browser is not able to display this video.

​
 
Kumbe utekaji bado upo
 
ni vizuri na kwakweli ni muhimu sana kuishi na watu vizuri my friends, ladies and gentlemen πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…