Video: Mwanamke aliyetambulika kwa jina la 'Rose' adaiwa kutekwa maeneo ya Mlimani City

Video: Mwanamke aliyetambulika kwa jina la 'Rose' adaiwa kutekwa maeneo ya Mlimani City

Maelezo yanyewe yanakosa mwelekeo

Kwanza nani kajua uyo Dada anaitwa ROSE

Lkn kaishia kujua jina ‼️‼️‼️‼️‼️‼️❗️
Kaona ili kuchochea uyu Dada nimpe jina la Kikristo

Angesema anaitwa Harima Mariamu Zainabu watu wangepotezea tu❗️

Kaweza kumtambua jina tu ❗️ROSE
Lkn hajui chengine chochote
Bado ujaelewa ni
UCHOCHEZI tu🤔
 
Sawa kiongozi, siku ikimfika mtu wako wa karibu au wewe ndio utapata ushahidi.


Utekaji tushaona clip zake
Pale hakuna utekaji

Pale kuna Uchochezi tu
Na ukitaka kujua Zaidi ni Uchochezi lile jambo litakosa
mwendelezo🫎✍️
 
Wangapi wamechukuliwa Kwa mfumo huo hui na wamerejea hawakuuwawa?

Vaa viatu vya Ndugu zake Kisha uwaze ungejisikiaje mnahangaika kumtafuta Ndugu yenu, Ambaye ametekwa Kisha Limtu linaanza kusema R.I.P. Au ndiye Mtejaji mwenyewe huyo?
Acha kutetea upumbavu wewe. Au wewe ndio mmoja wao!? Unahalalisha huu ujinga wa uholela holela kwa sababu unalipwa kwa kazi hiyo au sio!? Puumbavu.
 
Tumenona polepole mtu wa mfumo kaliwa ipio siku utasikia mfumo ummemla rpc,dci au mtotowa mjenga mfumo
 
Back
Top Bottom