Steve Rogers
JF-Expert Member
- Jun 20, 2026
- 775
- 1,712
Thanks for critique it is LOADEDFull roaded au siyo mtaalam!
Thanks for critique it is LOADEDFull roaded au siyo mtaalam!
Wewe upo tayari kujitoa kufa ili wanaowatuma waachie uongozi?Hivi watu mkienda kundi la watu hata 10-20 kuwazuia unadhani wanaweza kuua. Huo ndo uoga tunaoongelea. Kwa wale wanaosoma historia wanakumbuka jinsi Ferdnard Marcos alivyoondolewa madarakani. Raia walikuwa wanaandamana kwa wingi. Jeshi likaanza kuwafyatulia risasi, jamaa wanaandamana tu kuelekea Ikulu. Mwisho wa siku jeshi likaona hii sasa noma, tumeua lakini tunapozidi kuua ndo kama tunachochoe moto. Jeshi likamgeuzia kibao Ferdinard Marcos na akaondolewa madarakani
Mkuu hao ni askari...Uwenda ni machizi boti tu yametoka huko manondo kwa cheka, wame dhurumiana pesa za vikoba.
Tumefikia sehemu mbaya sana mkuu.Mkuu hao ni askari...
Sitaenda details zaidi... Na huo sio ukamataji..ni utekaji
Tupo pabaya sana...Tumefikia sehemu mbaya sana mkuu.
Hii nchi ipo mikononi mwa watu wasio na utu hata kidogo.
Na baadae watu wakija kuoji watatoa kauli kwamba hao ni watu wasio julikana.
If the NATION history is written by blood generation will remember the INK.
Isije kuwa Rose Ndauka doooohWakuu tusichukilie hii taarifa kimasihara. Huenda ni Rose Muhando.
Inaumiza sana mkuu kwasasa ni dhahiri utekaji umehalalishwa.Tupo pabaya sana...
Hizo gari Land cruiser LX ..ziligawiwa nyingi katika section ya upelelezi, Dar na mikoani...
Askari kitengo Cha upelelezi wote ndani ya Tanzania wakazipiga full tinted, na Kila gari Ina number fake..
Askari wa usalama barabarani wanazijua...wakiziona hawazisimamishi wanajua watu wapo kazini...
Ikitokea majambazi wakanunua LX mtaani ...iwe tuu nyeupe...full tinted... Aisee wanaweza wakafanya uhalifu mpaka wakatosheka...maana Askari wa Upelelezi watajua ni wenzao ..
Nchi hii ipo siku watu watachoka na mambo haya
Ndio, wale ******* waliomuua RIP Kibao hakukubali kupigwa camera wala kideo hio ni sooUnakumbuka tukio lililopelekea mauti ya Marehem Mzee Kibao lilivyokua?
Wanafuga rastaAskari gani ana RASTA?
Inamaana huoni hao jamaa wana nini hapoWatanganyika yaani mtu anatekwa mchana na ninyi mmetulia tu why?Ningekuwepo mimi ningeichoma moto hiyo gari kama kipindi kile cha mo29
Jaribu siku moja Ndugu DetectiveAk ni kitu gani kaka wataua wangapi? Waki sorround hata watu 50 hilo gari halitoki.
Basi tu watz wameumbiwa uwoga tokea kuzaliwa kwao
This is too much🥹Huyu Dada kajulikana kwa jina moja Rose, Leo akiwa maeneo ya Mlimani City amevamiwa na watu Wasiojulikana, wamemchukua na kuondoka nae.
Mashuhuda wanasema baadhi ya watu walijaribu kuwahoji waliomchukua kwamba wao ni akina nan? Wametokea wapi? Na wanampeleka wapi Rose? Wakaishia kupigwa.Tukio limetokea masaa mawili yaliyopita, Hakuna aliyesalama Ndugu zangu
Utekwe hivyo halafu wakuache!Una uhakika gani kwamba watamuua?
Umeelewa maelezo kwamba kuna waliohoji kinachoendelea wakaishia kupigwa?Maelezo yangu ni kwamba sijaona utekaji kwenye tukio
Lkn wewe sijui Tafsiri yako kutokea kamusi ya Bakita!!! Basi kila mmoja habaki na jinsi kaelea kwa Tafsiri yake!!!!!
Umeelewa maelezo kwamba kuna waliohoji kinachoendelea wakaishia kupigwa?
Tumefika pabaya sanaHuyu Dada kajulikana kwa jina moja Rose, Leo akiwa maeneo ya Mlimani City amevamiwa na watu Wasiojulikana, wamemchukua na kuondoka nae.
Mashuhuda wanasema baadhi ya watu walijaribu kuwahoji waliomchukua kwamba wao ni akina nan? Wametokea wapi? Na wanampeleka wapi Rose? Wakaishia kupigwa.Tukio limetokea masaa mawili yaliyopita, Hakuna aliyesalama Ndugu zangu
Maelezo yaambatane na kile tunakiona !
Lkn kile tunakiona jiran na tukio yupo Dada na Simu yake yupo free kabisa kuendelea na chochote
anachotaka 👀‼️
Sasa Maelezo mengine yatakosa Ushahidi wa kuona
kwenye ile clip yao ✍️