Video: Mwanamke aliyetambulika kwa jina la 'Rose' adaiwa kutekwa maeneo ya Mlimani City

Video: Mwanamke aliyetambulika kwa jina la 'Rose' adaiwa kutekwa maeneo ya Mlimani City

Kwanza kabebwa na Askari mwenzie wa Kike kumsadia kupanda Gari wampeleke Hospital

Wapumbavu wamepiga picha wanageuza story✍️

Mkikamatwa mnasema
mnatekwa
Mkiachwa mnaongeza Upumbavu zaidi👀
 
Watanganyika .yaani mtu anatekwa mchana na ninyi mmetulia tu why?Ningekuwepo mimi ningeichoma moto hiyo gari kama kipindi kile cha mo29
Ndugu, watekaji wana silaha za moto, hivyo kinobakia ni kama alivyofanya mleta mada au mtu mwingine, kuchukua video tu na kuweka nyimbo za maombolezo.

Hivyo tatizo ni kubwa kwa pande zote.
 
Huyu Dada kajulikana kwa jina moja Rose, Leo akiwa maeneo ya Mlimani City amevamiwa na watu Wasiojulikana, wamemchukua na kuondoka nae.

Mashuhuda wanasema baadhi ya watu walijaribu kuwahoji waliomchukua kwamba wao ni akina nan? Wametokea wapi? Na wanampeleka wapi Rose? Wakaishia kupigwa.Tukio limetokea masaa mawili yaliyopita, Hakuna aliyesalama Ndugu zangu

Hivi huo ndo utekaji kweli!?
 
Afu Waziri mwenye husika Yuko busy kuwatafuta kina Anko T na Dudu baya🤣🤣. Eee mungu kama unasikia maombi yangu ya kila siku ni huyu bibi na genge lake kufa wote.
 
Back
Top Bottom