Video: Mwanamke aliyetambulika kwa jina la 'Rose' adaiwa kutekwa maeneo ya Mlimani City

Video: Mwanamke aliyetambulika kwa jina la 'Rose' adaiwa kutekwa maeneo ya Mlimani City

Inasikitisha huyo mdada Bonge ndio anajaribu kumsukumizia ndani? Tena wanaume wamekaa pembeni kumuachia mwanamke mwenzake afanye hiyo kazi, duuuh, kweli adui was mwanamke ni mwanamke,
Hata huruma wala hofu hana, ukute hajawahi kuzaa hilo dada bonge, halijui uchungu was kuzaa.
😢😢😢
 
Bora wakuue hapo hapo. Kuliko nipo hapo halafu nabaki naumia nikimuona binadamu mwenzengu ananyang'anywa kama kifaranga cha kuku dhidi ya mwewe.
Unafikiri picha kama hilo linaweza kutokea kenya?
Unaweza kujitoa mhanga kwa mambo usiyojua chanzo chake ?

Yaani ni kwamba unatafuta pa kufia au ? Ulichokisema huwezi kukifanya hata hivyo
 
Inasikitisha huyo mdada Bonge ndio anajaribu kumsukumizia ndani? Tena wanaume wamekaa pembeni kumuachia mwanamke mwenzake afanye hiyo kazi, duuuh, kweli adui was mwanamke ni mwanamke,
Hata huruma wala hofu hana, ukute hajawahi kuzaa hilo dada bonge, halijui uchungu was kuzaa.
😢😢😢
Usijimalize sana shost, wahalifu tunaishi nao mitaani na wewe huwezi kuwajua ila vyombo vya usalama vinawajua, mimi nadhani tungekua wapole tusubiri tamko kutoka jeshi la polisi, humjui huyo Rose ni nani na anafanya nini
 
Hii sio safi kabisa,inachafua Nchi yetu,
Naomba aachiwe mara moja bila masharti! Kwasasa tunatakiwa kujisafisha zaidi kimataifa kuliko kipindi chochote kile! Mtu kama anatukana Wala haina haja kutekwa na kumkamata kwa mazingira Hayo, nadhani akamatwe kwa kufuata utaratibu tu na kupelekwa mahakamani! Tunawapa watu umaarufu wa bure
 
Usijimalize sana shost, wahalifu tunaishi nao mitaani na wewe huwezi kuwajua ila vyombo vya usalama vinawajua, mimi nadhani tungekua wapole tusubiri tamko kutoka jeshi la polisi, humjui huyo Rose ni nani na anafanya nini

Dear hata km, kwanini hao usalama wasifuate sheria za ukamataji km PGO inavyodai? Hatujakataa huenda ni muhalifu ila njia inayotumika sio sahihi na inatia wasi wasi kwa kweli.
Duuuh.
 
Huyu Dada kajulikana kwa jina moja Rose, Leo akiwa maeneo ya Mlimani City amevamiwa na watu Wasiojulikana, wamemchukua na kuondoka nae.

Mashuhuda wanasema baadhi ya watu walijaribu kuwahoji waliomchukua kwamba wao ni akina nan? Wametokea wapi? Na wanampeleka wapi Rose? Wakaishia kupigwa.Tukio limetokea masaa mawili yaliyopita, Hakuna aliyesalama Ndugu zangu

Karipoti polisi huku watakusaidia nini
 
Watanganyika mmekuwa ******* sana.yaani mtu anatekwa mchana na ninyi mmetulia tu why?Ningekuwepo mimi ningeichoma moto hiyo gari kama kipindi kile cha mo29
Unadhani hizo SMG CHATTA na AK-47 full loaded walizo shika zipo bure hapo, watu wanaogopa HEAD SHOT .

ndomana wamechagua kutazama kuliko kuingilia suala wasilo lijua.
 
Back
Top Bottom