Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 28,058
- 54,592
KabisaSheria ya ukamataji inamtaka askali avae nguo rasm za polisi na siyo nguo za kiraia.Hawa wahuni wametupanda sana kichwani.Inatakiwa siju moja wachomwe moto live ili watii PGO zao
KabisaSheria ya ukamataji inamtaka askali avae nguo rasm za polisi na siyo nguo za kiraia.Hawa wahuni wametupanda sana kichwani.Inatakiwa siju moja wachomwe moto live ili watii PGO zao
Kauliza swali la kindeziWewe ni mgeni kwenye haya mambo itakuwa
Huu ukamataji umepenyesha na kukuza ujambazi sana ,sio kila anaetekwa hivi huwa anachukuliwa na mapolisi wapo majambazi pia wanaokuja kwa njia hii kwa kweli ni shida aisehhWanachukulia wepesi sana, na hao jamaa sidhani kama wanaona ugumu kukujumlisha na wewe.
Solo, driven and angry people will not bring about justice.
Huwezi take risk ya kutoa msaada kwenye situation kama hyo.
Uwenda ni machizi boti tu yametoka huko manondo kwa cheka, wame dhurumiana pesa za vikoba.Huu ukamataji umepenyesha na kukuza ujambazi sana ,sio kila anaetekwa hivi huwa anachukuliwa na mapolisi wapo majambazi pia wanaokuja kwa njia hii kwa kweli ni shida aisehh
Wameshajua watz hawana umoja woga na ujinga umejaa kichwaniWanachukulia wepesi sana, na hao jamaa sidhani kama wanaona ugumu kukujumlisha na wewe.
Solo, driven and angry people will not bring about justice.
Huwezi take risk ya kutoa msaada kwenye situation kama hyo.
Hamna namna mkuu wacha tuendelee kutiwa madole mpaka akili itukae Sawa si hatuwezi kujipambania.Wameshajua watz hawana umoja woga na ujinga umejaa kichwani
Kuna umuhimu wa kutengeneza vikosi vya wananchi vya ulinzi tujitenge na polisi hii ya maelekezoLakini kuchukuliwa namna hii kwenye nchi ya amani, utawala bira na mifumo ya ulinzi na usalama ni sawa kweli gentleman?
Hii inaacha picha gani kwa wananchi? Kwamba tujitetee wenyewe bila kuviamini vyombo vyetu vilivyokabidhiwa jukumu la kulinda usalama wa raia na mali zao?
Lakini acha tusubirie, huenda taarifa ikatolewa yenye maelezo ya hili tukio, tuvute subira Gentleman.
Wasipobadilika, hali itakua mbaya zaidi ya kuwa na vikosi. Nchi itatumbukia kwenye mgogoro mzito sana.Kuna umuhimu wa kutengeneza vikosi vya wananchi vya ulinzi tujitenge na polisi hii ya maelekezo
Vitani baina ya nani na nani?Ile sheria ya usalama wa taifa iliyopitishwa na wale wabunge itaingiza hii nchi vitani muda siyo mrefu
Kati ya mbuzi na kondoooVitani baina ya nani na nani?
Vyombo gani au vyakupikia chakula ? Ndio maana mimi natembeaga na sime langu kiunoni wakija kuteka nakufa na mmoja hapohapoWasipobadilika, hali itakua mbaya zaidi ya kuwa na vikosi. Nchi itatumbukia kwenye mgogoro mzito sana.
Natoa rai vyombo vyetu vijitathmini na kuchukua hatua stahiki kunusuru hii hali na kurudisha imani kwa wananchi.
Kati ya mbuzi na kondooo