Steve Rogers
JF-Expert Member
- Jun 20, 2026
- 775
- 1,712
Hiyo ndo maana ya power rest in hand of few peoples.Duh,
Naona hapo mmoja wa watekaji ni mdada! Kumbe kuna watekaji wanawake pia?
Inaumiza sana asee.
Hiyo ndo maana ya power rest in hand of few peoples.Duh,
Naona hapo mmoja wa watekaji ni mdada! Kumbe kuna watekaji wanawake pia?
We ni kunguru tuUnadhani hizo SMG CHATTA na AK-47 full roaded walizo shika zipo bure hapo, watu wanaogopa HEAD SHOT .
ndomana wamechagua kutazama kuliko kuingilia suala wasilo lijua.
Haswaa mkuu mimi ni kunguru.We ni kunguru tu
Duuuu,,Bado upo nyuma sana ,poleAskari gani ana RASTA?
Mbona kama wanatoa msaada na sio utekaji?Huyu Dada kajulikana kwa jina moja Rose, Leo akiwa maeneo ya Mlimani City amevamiwa na watu Wasiojulikana, wamemchukua na kuondoka nae.
Mashuhuda wanasema baadhi ya watu walijaribu kuwahoji waliomchukua kwamba wao ni akina nan? Wametokea wapi? Na wanampeleka wapi Rose? Wakaishia kupigwa.Tukio limetokea masaa mawili yaliyopita, Hakuna aliyesalama Ndugu zangu
Unajua nani kamteka? Mbona utekaji upo tangia zamani? Watu hutekana kwa mambo yao binafsi, wamedhulumiana, wamechukuliana wake/mume, wapenzi. Kwanini kila wakati tufikirie ni jeshi la polisi? Polisi kazi yao ni kuteka? Hiyo ni siasa za hovyo, kishamba, za maji taka hasa kutoka nyumbu wa chadema.Haswaa mkuu mimi ni kunguru.
Hatualilishi utekaji na ni jambo lakufikirisha pia, lakini wewe pekeako huwezi ukafanya ukombozi.
It requires CROWD not a single person .
Huyo dada kingine anaonekana yuko bwiii 😄Mbona kama wanatoa msaada na sio utekaji?
Mbona unavyo viongea na ninavyo visema mimi ni tofauti.?Unajua nani kamteka? Mbona utekaji upo tangia zamani? Watu hutekana kwa mambo yao binafsi, wamedhulumiana, wamechukuliana wake/mume, wapenzi. Kwanini kila wakati tufikirie ni jeshi la polisi? Polisi kazi yao ni kuteka? Hiyo ni siasa za hovyo, kishamba, za maji taka hasa kutoka nyumbu wa chadema.
Nazungumzia comments in general, mbona unakimbilia kutaka kunishambulia na mimi?Mbona unavyo viongea na ninavyo visema mimi ni tofauti.?
Kuna sehemu nimesema ni police ndo wamefanya utekaji.?
Are you normal SIR ??
Unashangaza ujueKumbe utekaji bado upo
Wewe ungefanyaje?watu wana silaha za moto,unajua ukiwa unaongea ujiweke wewe katika hyo nafasi,tatizo sio watanzania tatizo unalijua ila umeogopa kulisema, kama ulivyoogopa kusema basi na waliokuwepo jirani nao wameogopa kujitosaNashangaaa watu wamesimama pembeni , tabia gani hii watanzania
Ukini-quote jibu point angu usi-generalize, inaleta misunderstanding.Nazungumzia comments in general, mbona unakimbilia kutaka kunishambulia na mimi?
Unakua arrested bila vibali sheria haina nguvu tena mimi nashangaa wnaaotaka katiba mpya ilihali hali ni teteLabda kuna madhambi yamefanyika makubwa inabidi wamuwahishe maelezo.
Ila watatoa tamko tusubiri tu.
We mwenyewe ni muoga wa kutupwa shujaa nyuma ya keybodiKatika watu makunguru ni Wa Tz , huwa nasemaga humu sana tu,sijui Wana matatizo gani
ni vizuri na kwakweli ni muhimu sana kuishi na watu vizuri my friends, ladies and gentlemen 🐒
Wanachukulia wepesi sana, na hao jamaa sidhani kama wanaona ugumu kukujumlisha na wewe.Wewe ungefanyaje?watu wana silaha za moto,unajua ukiwa unaongea ujiweke wewe katika hyo nafasi,tatizo sio watanzania tatizo unalijua ila umeogopa kulisema, kama ulivyoogopa kusema basi na waliokuwepo jirani nao wameogopa kujitosa
Wanaume wa dar bana sasa hao wanawapigaje na silaha hawana yaani hapo ningekuepo ningetembeza kung fu wangeacha ndala basiHuyu Dada kajulikana kwa jina moja Rose, Leo akiwa maeneo ya Mlimani City amevamiwa na watu Wasiojulikana, wamemchukua na kuondoka nae.
Mashuhuda wanasema baadhi ya watu walijaribu kuwahoji waliomchukua kwamba wao ni akina nan? Wametokea wapi? Na wanampeleka wapi Rose? Wakaishia kupigwa.Tukio limetokea masaa mawili yaliyopita, Hakuna aliyesalama Ndugu zangu