Video: Mwanamke aliyetambulika kwa jina la 'Rose' adaiwa kutekwa maeneo ya Mlimani City

Video: Mwanamke aliyetambulika kwa jina la 'Rose' adaiwa kutekwa maeneo ya Mlimani City

Askari gani ana RASTA?
Wapo kibao nenda kituo CHA hapo kariakoo.

Wapo mpaka walevii, wavuta madawa ya kulevya, bodaboda,wavuta bange..

Kuna dogo Ali iba 10m hapo kariakoo nikapewa Rb nishughurike na dogo akaenda kukamatwa mzee wake MZEE WA MIAKA 60 NANAPIGWA MAKOFI NA MAKACHERO WA POLICE KWA KOSA LA KIJANA WAKE.. POLICE TULIWAWEKEA PESA ZA MAFUTA KUMSAKA DOGO AKATIMKA SOUTH AFRICA
 
Yaani wanaume wa Dar hususani mnaokuwa hapo mlimani City wote ni km wadada tu, yaani mnapigwa na hao jamaa wachache? Mmeshindwa kumuokoa huyo dada mtaweza kuokoa nini tena. Huyo watamf*ra, kumbaka Kisha kumuua na viungo vyake vya ndani vitauzwa nje na Abdul.

Nashauri wanawake wa Dar mje Kwa wanaume wa mkoa mnaowaona washamba mtasalimika.

Siku tuliporuhusu jamii ya waarabu kuingia ikulu, ndio siku tulikabidhi nchi kwa Boko Haram. Kazi yao ni kuteka, kuua, kubaka, kuiba nk.

Tumekalia mambo ya mipira, ngono na kushabikia wasanii. Inatosha sasa, tuchukue hatua.
Inasikitisha sana mkuu
 
Wangapi wamechukuliwa Kwa mfumo huo hui na wamerejea hawakuuwawa?

Vaa viatu vya Ndugu zake Kisha uwaze ungejisikiaje mnahangaika kumtafuta Ndugu yenu, Ambaye ametekwa Kisha Limtu linaanza kusema R.I.P. Au ndiye Mtejaji mwenyewe huyo?
Ripoti ya jaji chande ilisema ndani ya miaka mitatu watu 768 walitekwa kati ya hao 103 tu ndio walipatikama. We mwenyewe pima hapo ukitekwa nchi hii asilimia za kurudi salama ni ndogo mno
 
Back
Top Bottom