Video: Mwanamke aliyetambulika kwa jina la 'Rose' adaiwa kutekwa maeneo ya Mlimani City

Ni kweli, ni rahisi kujiongelesha watz waoga, lakini hao jamaa ukizingua anakushoot! Then what? Inaisha tu kama mauaji ya halaiki ya 2025 yanavyoishia juujuu.
Unadhani hizo SMG CHATTA na AK-47 full roaded walizo shika zipo bure hapo, watu wanaogopa HEAD SHOT .

ndomana wamechagua kutazama kuliko kuingilia suala wasilo lijua.
 
Huyu Dada kajulikana kwa jina moja Rose, Leo akiwa maeneo ya Mlimani City amevamiwa na watu Wasiojulikana, wamemchukua na kuondoka nae.

Mashuhuda wanasema baadhi ya watu walijaribu kuwahoji waliomchukua kwamba wao ni akina nan? Wametokea wapi? Na wanampeleka wapi Rose? Wakaishia kupigwa.Tukio limetokea masaa mawili yaliyopita, Hakuna aliyesalama Ndugu zangu

MaCCM watawateka wapigakura mpaka wataisha watabaki wao wenyewe.
 
Namna ya ufuatiliji wanatumia zile apps za ku locate stollen phones? Au wanatembea na mfumo wa TCRA kwenye hilo gari?
Kama hujawasha LOCATION sio rahisi kujua mahali ulipo mkuu. Nadhani watakuwa wanawatumia pia watu wa mitandao ya simu.
 
Ni kweli, ni rahisi kujiongelesha watz waoga, lakini hao jamaa ukizingua anakushoot! Then what? Inaisha tu kama mauaji ya halaiki ya 2025 yanavyoishia juujuu.
Hivi watu mkienda kundi la watu hata 10-20 kuwazuia unadhani wanaweza kuua. Huo ndo uoga tunaoongelea. Kwa wale wanaosoma historia wanakumbuka jinsi Ferdnard Marcos alivyoondolewa madarakani. Raia walikuwa wanaandamana kwa wingi. Jeshi likaanza kuwafyatulia risasi, jamaa wanaandamana tu kuelekea Ikulu. Mwisho wa siku jeshi likaona hii sasa noma, tumeua lakini tunapozidi kuua ndo kama tunachochoe moto. Jeshi likamgeuzia kibao Ferdinard Marcos na akaondolewa madarakani
 
Hao kenge wanaua vizuri. Au mnaweza kujeruhiwa.
 
Hivi watu mkienda kundi la watu hata 10-20 kuwazuia unadhani wanaweza kuua. Huo ndo uoga tunaoongelea. Kwa wale wanaosoma historia wanakumbuka jinsi Ferdnard Marcos alivyoondolewa madarakani. Raia walikuwa wanaandamana kwa wingi. Jeshi likaanza? kuwafyatulia risasi, jamaa wanaandamana tu kuelekea Ikulu. Mwisho wa siku jeshi likaona hii sasa noma, tumeua lakini tunapozidi kuua ndo kama tunachochoe moto. Jeshi likamgeuzia kibao Ferdinard Marcos na akaondolewa madarakani
Ww ungekuwepo ungefanya hicho unacho kisema ?
Ww kama sio muoga mbona umejificha humu kwenye ID bandia ili usijulikane?
Hivi unacheza na bunduki eti ?
Hujui kuwa hiyo bunduki aliyo ishika ina uwezo wa kuwa watu 50 ndani dakika Moja tu?
Kama waliweza kuwa maelfu ya watu siku ya uchaguzi watawashinda watu hao kumi unao wasema?
 
Hivi watu mkienda kundi la watu hata 10-20 kuwazuia unadhani wanaweza kuua. Huo ndo uoga tunaoongelea. Kwa wale wanaosoma historia wanakumbuka jinsi Ferdnard Marcos alivyoondolewa madarakani. Raia walikuwa wanaandamana kwa wingi. Jeshi likaanza kuwafyatulia risasi, jamaa wanaandamana tu kuelekea Ikulu. Mwisho wa siku jeshi likaona hii sasa noma, tumeua lakini tunapozidi kuua ndo kama tunachochoe moto. Jeshi likamgeuzia kibao Ferdinard Marcos na akaondolewa madarakani
Ni kweli, ni rahisi kujiongelesha watz waoga, lakini hao jamaa ukizingua anakushoot! Then what? Inaisha tu kama mauaji ya halaiki ya 2025 yanavyoishia juujuu.
Mkuu hao kwao kuua sio hasara mbona hata 2025 wao walikua kakikundi kadgo tu .

Tazama halaiki ya watu walio kufa hao sio binadamu kwahyo usijidanganye kwamba watu wakijikusanya wanaweza msaidia wataishia kuuwawa tu.

Hayo yalishakosa ubinaadamu.
 
Exactly 💯
 
Back
Top Bottom