Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kanuni ni ile ile upendo, sera bora na uhuru. Chadema ni chaguo la Watanzania.Hii ni hatari sana ! Angalia video hii kutoka Chimala.
View attachment 1600510
Uwezo wako wa uchambuzi wa enzi zile umeenda wapi ? hivi ni kweli kwamba wanaccm mnalogana?Hicho ni kikundi kidogo cha mdundiko. Hakiwakilishi hata 0.1% ya wapiga kura wa Mbarali
Hii ni hatari sana ! Angalia video hii kutoka Chimala.
View attachment 1600510
Mwang'ombe hana uwezo wa kujenga hoja wala kuongea zaidi anamtegemea MBU. Mgombea pekee mwenye uwezo wa kujenga hoja ni Gamdust na hatashinda kisa chama alichopitia kugombea nje ya hapo alitakiwa ashinde mapema tu.
Chadema hoyeeeeeee!Hii ni hatari sana ! Angalia video hii kutoka Chimala.
View attachment 1600510