Uchaguzi 2020 Video: Mwang'ombe CHADEMA aendelea na kampeni katika Jimbo la Mbarali

Uchaguzi 2020 Video: Mwang'ombe CHADEMA aendelea na kampeni katika Jimbo la Mbarali

Hicho ni kikundi kidogo cha mdundiko. Hakiwakilishi hata 0.1% ya wapiga kura wa Mbarali
 
Mwang'ombe hana uwezo wa kujenga hoja wala kuongea zaidi anamtegemea MBU. Mgombea pekee mwenye uwezo wa kujenga hoja ni Gamdust na hatashinda kisa chama alichopitia kugombea nje ya hapo alitakiwa ashinde mapema tu.
 
Ndio makamanda wenyewe tulionao. Na safari hii Mbowe ajiandae kisaikolojia, kwa vile ruzuku ya zaidi ya 300 million kwa mwezi aliyoizoea itasinyaa mbele ya macho yake. Ameshindwa kuitumia vizuri kukijenga chama sasa hana budi kuambulia maumivu makali.
 
Huyu Mwang'ombe pia si ni mtaalamu wa mambo ya afya ya jamii anakaa Marekani?
 
Back
Top Bottom