Video: Mwenye nguvu mpishe

Video: Mwenye nguvu mpishe

VanDon

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
396
Reaction score
680
Sijajua nini hasa jamaa alichokuwa analalamika hapa, ila jambo la kujifunza kupitia clip hii ni kwamba, usipoteze sana muda wako kumfokea mtu aliyekuzidi kwenye jambo fulani ikiwa hajaonesha dalili ya kukusikiliza.

View attachment 2785484
Soon wabongo wataanza kuwafanyia hii kitu bodaboda mijini
 
Kitendo hiki ni kibaya aisee. Imagine gari iliyopo nyuma ya jamaa inhekuwa na spidi kubwa!
 
Sijajua nini hasa jamaa alichokuwa analalamika hapa, ila jambo la kujifunza kupitia clip hii ni kwamba, usipoteze sana muda wako kumfokea mtu aliyekuzidi kwenye jambo fulani ikiwa hajaonesha dalili ya kukusikiliza.

View attachment 2785484
Duh, hapo kungekuwa na gari lingine nyuma alikuwa anapitiwa juu.
 
Back
Top Bottom