VIDEO: Mwonekano mpya wa Uwanja wa Mkapa, sehemu ya kuchezea kama majibu kwa CAF baada ya kuufungia

VIDEO: Mwonekano mpya wa Uwanja wa Mkapa, sehemu ya kuchezea kama majibu kwa CAF baada ya kuufungia

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Video zinaachiwa kuonesha hali ya sehemu ya kuchezea gozi la Ng'ombe (Pitch) ambayo imekua gumzo baada ya wenye mpira wao Afrika, CAF kuupiga spana kwa muda kwa kukosa vigezo na kutoa angalizo kama hawatashughulikia tatizo haraka wataufungia kwa muda mrefu. Hatua hii ni kama majibu kwa CAF kuhusu taarifa yao.

Pia, Soma

 
Maeneo yaliyopangwa yakarabatiwe ni pamoja na.

1. vyumba vya wachezaji,
2. chumba cha waandishi wa
Habari,
3.Eneo la watu mashuhuri (VVIP), 4. kubadilisha viti vyote vya kukalia mashabiki uwanjani hapo,
5. ubao wa kuonesha matokeo,
6. kuweka mfumo mpya wa TEHAMA,
7. kubadilisha eneo la kuchezea na seti mbili za magoli ambazo zitatumika uwanjani hapo.

Maeneo mengine ambayo yatafanyiwa ukarabati ni viti vya benchi la ufundi na wachezaji wa akiba,
8. mfumo wa umeme,
9. mfumo wa sauti,
10. Eneo la kukimbilia wanariadha,
11. chumba cha VAR,
12. lifti mbili mpya,
13. mfumo wa taa,
14. mfumo wa maji taka,
15. mgahawa pamoja na vitu vingine ambavyo vimepita muda wa matumizi kwani vilitakiwa kutumika kwa muda wa miaka saba tu

HADI SASA HAKUNA KILICHOFANYIKA
 
Back
Top Bottom