Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Uwanja wa Singida Black Stars ambao unazinduliwa leo na mechi ya kirafiki kati ya Singida BS dhidi ya Yanga SC
Leo, Machi 24, 2025, Singida Black Stars inazindua rasmi uwanja wao mpya uliopo Mtipa, Singida. Uwanja huu wa kisasa wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 5,000-7,000 umejengwa kwa ushirikiano na wadhamini kama Airtel, Azam, GSM, na MO Dewji.
Soma: Singida BS kuzindua uwanja wao kwa mechi ya kirafiki na Yanga
Sherehe za uzinduzi zinahudhuriwa na viongozi wa serikali na michezo, huku Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA), akiwa mgeni rasmi. Burudani mbalimbali na mechi ya kirafiki kati ya Singida Black Stars na Yanga SC zinatarajiwa kuwa sehemu ya shamrashamra za tukio hili la kihistoria.