Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Nawapongeza kwa hatua waliyoifikia. Ila safari iliyo mbele yao katika kuumalizia ni ndefu zaidi. Ni kama kujenga nyumba hadi kwenye renta kazi IPO kwenye "finishing".Hongera SBS
Simba na yanga ni klabu za wapuuzi wenye kujifanya wanajua wao mtu akitumia pesa zake kununua mechi na kujipatia faida kwenye biashara zake kwa mgongo wa wapuuzi na nembo ya klabu.. kwao ndio mafanikio ila hawataki mafanikio ya vitu...kama viwanja na majengo hubaki na upuuzi wa siso ni klabu kubwa nchi nzima tuna wapenzi wengi wasio na mchango mchango mkuu ni kutafuta waganga...ukiona hao wenye viwanja ni watu binafsi tu hata hao viongozi wa vilabu vya wapuuzi wakiamua kuwa na timu zao kesho tu wanajenga viwanja vyao wacha waongoze mazezeta wajichotee utajiri!Hivi inakiwaje simba na yanga wanashindwa kujenga viwanja?
Simba na yanga ni issue ya kisiasa we hauon uwanaja wa singida yupo GSM yupo MO DEWJI kama wadhamini ikumbukwe hao wote ni wadhamin wa kwakubwa wa timu kubwa za simba na yangaHivi inakiwaje simba na yanga wanashindwa kujenga viwanja?
Comrade kuwa mpole! Tumedunduliza kwa muda mrefu mpaka tukapata hela ya kujengea huo uwanja. Kumbuka tu tuliwawekea tozo ndogo sana kwenye hiyo miamala ya simu.Kodi zangu kwa kivuli cha Airtel.
KAZI ni kipimo cha utu
Safiii sagiiii safiii bado Yanga na 5imba sasaaaaUwanja wa Singida Black Stars ambao unazinduliwa leo na mechi ya kirafiki kati ya Singida BS dhidi ya Yanga SC
Leo, Machi 24, 2025, Singida Black Stars inazindua rasmi uwanja wao mpya uliopo Mtipa, Singida. Uwanja huu wa kisasa wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 5,000-7,000 umejengwa kwa ushirikiano na wadhamini kama Airtel, Azam, GSM, na MO Dewji.
Soma: Singida BS kuzindua uwanja wao kwa mechi ya kirafiki na Yanga
Sherehe za uzinduzi zinahudhuriwa na viongozi wa serikali na michezo, huku Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA), akiwa mgeni rasmi. Burudani mbalimbali na mechi ya kirafiki kati ya Singida Black Stars na Yanga SC zinatarajiwa kuwa sehemu ya shamrashamra za tukio hili la kihistoria.
Pesa yetu ikfaifdisha majizi ya awamu ya sita chini ya samiaUwanja wa Singida Black Stars ambao unazinduliwa leo na mechi ya kirafiki kati ya Singida BS dhidi ya Yanga SC
Leo, Machi 24, 2025, Singida Black Stars inazindua rasmi uwanja wao mpya uliopo Mtipa, Singida. Uwanja huu wa kisasa wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 5,000-7,000 umejengwa kwa ushirikiano na wadhamini kama Airtel, Azam, GSM, na MO Dewji.
Soma: Singida BS kuzindua uwanja wao kwa mechi ya kirafiki na Yanga
Sherehe za uzinduzi zinahudhuriwa na viongozi wa serikali na michezo, huku Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA), akiwa mgeni rasmi. Burudani mbalimbali na mechi ya kirafiki kati ya Singida Black Stars na Yanga SC zinatarajiwa kuwa sehemu ya shamrashamra za tukio hili la kihistoria.
Sehemu za kukaa mashabiki mbona sizioni.Uwanja wa Singida Black Stars ambao unazinduliwa leo na mechi ya kirafiki kati ya Singida BS dhidi ya Yanga SC
Leo, Machi 24, 2025, Singida Black Stars inazindua rasmi uwanja wao mpya uliopo Mtipa, Singida. Uwanja huu wa kisasa wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 5,000-7,000 umejengwa kwa ushirikiano na wadhamini kama Airtel, Azam, GSM, na MO Dewji.
Soma: Singida BS kuzindua uwanja wao kwa mechi ya kirafiki na Yanga
Sherehe za uzinduzi zinahudhuriwa na viongozi wa serikali na michezo, huku Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA), akiwa mgeni rasmi. Burudani mbalimbali na mechi ya kirafiki kati ya Singida Black Stars na Yanga SC zinatarajiwa kuwa sehemu ya shamrashamra za tukio hili la kihistoria.
Ile 1.7 trn ndiyo moja ya matumizi yake hayo.Kodi zangu kwa kivuli cha Airtel.
KAZI ni kipimo cha utu
Mashabiki hakuna kukaa, ni kushangilia mwanzo mwisho!Sehemu za kukaa mashabiki mbona sizioni.