Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Hakika nimecheka sana baada ya kuona video hii ya Babu Wasira😀😀😀
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, , Stephen Wasira, leo Machi 15, 2025 ametembelea na kukagua ujenzi wa Hospitali ya Mkoa wa Songwe iliyoko wilayani Mbozi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika ukaguzi huo naye alishiriki katika kujenga jengo hilo la Hospitali. Lucas Mwashambwa hapa vipi sema lolote.