Video: Mzozo kati ya Trafiki na Dereva wazua gumzo mitandaoni. Wananchi wameanza kuamka?

Video: Mzozo kati ya Trafiki na Dereva wazua gumzo mitandaoni. Wananchi wameanza kuamka?

tucker carlson

Senior Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
182
Reaction score
759
Video inayomwonyesha askari wa Usalama Barabarani (Trafiki) akijibizana na kutoa matusi ya nguoni dhidi ya dereva, imeendelea kusambaa kwa kasi na kuibua mjadala mzito miongoni mwa wananchi kuhusu maadili na nidhamu ya kazi.

Ingawa chanzo cha mzozo huo bado hakijathibitishwa rasmi na mamlaka husika, matumizi ya lugha za udhalilishaji yanatajwa kukiuka Kanuni za Permanent General Orders (PGO No. 103 na 396) zinazokataza askari kutoa lugha chafu au fujo dhidi ya raia (Discreditable Conduct), pamoja na Mkataba wa Huduma kwa Wateja wa Jeshi la Polisi.

 
Mimi bado naamini yule daktari mpaka KUNYAN'GANYAna funguo KIASI kile na trafiki,basi lazima trafiki ALI MPROVOKE yule daktari TO THE EXTREM,..either kwa kumtolea Kauli chafu za kuudhi sambamba na kumpokonya funguo

Si rahisi katika hali ya kawaidA daktari ku react vile,.

Kuna HAJA mapolisi wapewe semina NAMNA ya kutimiza majukumu Yao kwa misingi ya Sheria..hii wizara ya mapolisi ..ilimfaa sana CHAWENE ..ila bahati mbaya sana hakudumu.
 
Video inayomwonyesha askari wa Usalama Barabarani (Trafiki) akijibizana na kutoa matusi ya nguoni dhidi ya dereva, imeendelea kusambaa kwa kasi na kuibua mjadala mzito miongoni mwa wananchi kuhusu maadili na nidhamu ya kazi.

Ingawa chanzo cha mzozo huo bado hakijathibitishwa rasmi na mamlaka husika, matumizi ya lugha za udhalilishaji yanatajwa kukiuka Kanuni za Permanent General Orders (PGO No. 103 na 396) zinazokataza askari kutoa lugha chafu au fujo dhidi ya raia (Discreditable Conduct), pamoja na Mkataba wa Huduma kwa Wateja wa Jeshi la Polisi.

Tunaposema jeshi la polisi lifumuliwe nyinyi mnatutukana.wengi waliopelekwa mafunzo ya upolisi ni watoto wa mapolisi ambao walikuwa wavuta bangi wa kota za mapolisi.unategemea hao ndo wawe na nidhamu au maadili ya kazi!jeshi la polisi litaendelea kuwa la hovyo labda mpaka dunia ibadilike.jeshi linateka na kuuwa watu hilo ni jeshi au takataka.amka tanganyika kataa upuuzi.
 
Traffic kamuhurumia sana huyo jamaa, angemyosha kidogo, kuna madereva wana kera sana...


Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom