Video: Mzungu alimvyompotezea Mwarabu alipokuwa akimchimbia mkwara wa kitoto huko Australia

Video: Mzungu alimvyompotezea Mwarabu alipokuwa akimchimbia mkwara wa kitoto huko Australia

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Video hii ilipigwa huko Melbourne Australia. Kijana wa Kiarabu aliposhuka kwenye kibakuli (Baby Walker) na kuanza kumchimbia mkwara mbuzi Mzungu ambaye alisimama na kumpotezea kwa kuweka tu mikono mfukoni.

Waarabu kwa mikwara bana.

Sol de Mayo Dalmine
 
Umejuaje ni mwarabu?labda Mzungu wa Mediterranean?au mhindi?
 
Back
Top Bottom