M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,307 Reaction score 47,210 Nov 30, 2022 #1 Video hii ilipigwa huko Melbourne Australia. Kijana wa Kiarabu aliposhuka kwenye kibakuli (Baby Walker) na kuanza kumchimbia mkwara mbuzi Mzungu ambaye alisimama na kumpotezea kwa kuweka tu mikono mfukoni. Waarabu kwa mikwara bana. Your browser is not able to display this video. Sol de Mayo Dalmine
Video hii ilipigwa huko Melbourne Australia. Kijana wa Kiarabu aliposhuka kwenye kibakuli (Baby Walker) na kuanza kumchimbia mkwara mbuzi Mzungu ambaye alisimama na kumpotezea kwa kuweka tu mikono mfukoni. Waarabu kwa mikwara bana. Your browser is not able to display this video. Sol de Mayo Dalmine
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 Dec 1, 2022 #2 Umejuaje ni mwarabu?labda Mzungu wa Mediterranean?au mhindi?