Video na Picha: Ushahidi kuhusu yaliyotokea kwa Jaji Warioba wakati na baada ya vurugu, Ubungo Plaza

Wana JF, Tuepuke kulishwa sumu . Kuna member hapa jf wanatafuta umaarufu kupitia CCM.
Hatutakubali jambo hilo liendelee hata kidogo.

Jambo halina hata ushahidi, lakini mnapayuka bila hata kuona aibu

Pole sana kijana wetu Paul Makonda.

Mandla,
Wa Dodoma.
 

kilichobaki ni kuchukua sheria mkononi,wasipo adhibiwa tutaawadhibu hukuhuku mtaani.
 
UDSM imeharibiwa sana na wajinga wa ccm. Haina thamani tena.

Ndio maana wasomi wengi hata hawajui wanasoma nini ili wafanye nini, tukiambiwa wasomi wa TZ hawauziki tunapiga kelele, aibu sana kijana mzima tena rijali utabeba bango ili mzee sawa na babu yako atukanwe? Halafu hawa ndio wanaume wanaotegemewa kuwa baba wa familia, aibu sana, na hili ni janga hata kwenye familia nyingi wanashindwa kuendhesha nyumba zao ndoa zizavunjika kila siku wanaume hawajitambui.
 
Mbona sioni picha ya Makonda akimpiga Mzee Warioba??
HUYU DOGO INAFAA TUMVIZIE HUKU MTAANI K.U.M.A.B.A.KE ANAMPIGA WARIOBA?????? HEEEEEE???????????
NA TAIFA LINANYAMAZA????????????:angry::angry:
 
Makonda anajua yote yaliyotokea,ila ktk mdahalo mwingine akijileta atakufa
 
vijana tuache propaganga za kijinga na kinafiki hukumu ya mungu i juu yetu. watoto wetu watatabika km tumeamua kutumika kama kondom lazima umuhimu wetu ukiisha tutatupwa hapo ndo tutaanza kujuta.
 
Huyu mzee si aliwahi kuwa waziri mkuu,mababu huwa wananisimulia,je akiwa waziri mkuu kipi alifanya cha kumfanya japo tumkumbuke?

Bado u mtoto,ukikua utajua alichokifanya huyu mzee yeye pamoja na wengine! Kwa sasa unawaza buku 7 tu hivyo huwezi kujua haya mambo
 

mungu atakulinda wamekuwa wazushi tuu .
 

Tatizo njaa zimehamia kwenye ubongo!! CCM wametuonesha mtindo wa hela za fasta ndo maisha!! Hapo vijana walikuja kupiga elfu Kumi zao hawakujua yatakuwa haya!!
 

mungu atakulinda wamekuwa wazushi tuu .




Mwanasiasa mpiga wazee - Paul Makonda
 
Kamwambie aliyekutuma hapa kuwa bado tunaamini kuwa vurugu ziliratibiwa naye na si mwingine. Eti Makonda akimsaidia......my foot! Paul Makonda hasafishiki katika hili
 
Last edited by a moderator:
kama clipo yenyewe source ni TBC wala usishangae kuwa kazi ya dola inaendelea
 
kama clip yenyewe source ni TBC wala usishangae kuwa kazi ya dola inaendelea
 

aminangalo;
Hivi unaamini kuwa huyo Makonda wako atasema ndiye alimpiga mzee Warioba? Hivi Makonda anajiona kuwa yeye ndiye mtetezi saana wa wanyonge kiasi kwamba aliwahi kwenda kumtetea mlemavu wa macho aliyekuwa anapigwa ati na wabaya wao?
Swali la kizushi tu; Huyo mlemavu alikuwa na Makonda au yule aliyempeleka humo ndani? Makonda ana maanisha kuwa yeye tu ndo aliona kuwa kuna hatari pale akamwokoa mlemavu au anataka huruma za umma kuwa alikuwa anafanya mema pale ukumbini??
Mwambie; Aliwatuma hao wenye mabango, na pale hapakuwa mahali pake. Angetaka mema, na yeye na chama chake wangeutumia ukumbi huo huo kumpinga Warioba kwa hoja zenye nguvu sio nguvu ya mawe na chupa na mabango ya kumtusi. Pale aliwatusi Watz na kumwongezea chart mzee Warioba na zaidi sana UKAWA kwani sasa tumeamini kuwa mliwafukuza BMK ili mpitishe yenu. Tumeamini Warioba aliposema mmechakachua ni kweli. Mnafunika tusijue mlichochakachua. Tumeamini ya Warioba.
Wekeni picha mia, ila tuliona na zitaletwa nyingine tuu humu mpaka muaibike na kufunika nyuso zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…