Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Huyu jamaa aligundua kuwa watu weusi popote duniani wanateseka chini ya wakoloni wazungu.
 
Farao shabaka huyu aliitawala misri akitokea kusini.nyuma yake ni picha ya Osiris.
 
Ukiziangalia crown za mafarao utagundua kuna nembo mbili,moja ni ndege tai na nyingine ni swila.misri ilikuwa kingdom mbili moja ya juu ya mto nile na moja ya chini ya mto nile.
 
Hawa ni watu wa kabila sani huko kalahari kusini mwa afrika
 
Wanubi wa leo wakicheza mchezo wa mieleka kama inavyoonyesha kwenye mchoro wa wanubi wa kale.
 
Michoro ya wanubi katika mahekalu ya mafarao
 
wanubi kama walivyochorwa hawa inaonekana ni eidha matajiri au wakuu wa dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…