Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Huyo mtoto atakuwa ni albino,tunapiga vita mauaji ya albino,hapa unasifia mauaji.Kwa mauaji haya,inatakiwa kitendo hiki kilaaniwe na watu wa haki za binadamu dunia nzima.
Kabisa hata ni mauwaji,hiki ni kitendo cha kulaaniwa dunia nzima.
 
Habari za Wikendi wanaJamvi.

Bado inawaumiza vichwa sana wana Historia na wanaanthropolojia hawa watu walifikaje India kwenye visiwa vya Andaman na Nicobar? Nadharia tofauti zinadai hawa watu wa kabila linaloitwa Jarawa walisafiri kutoka Africa Mashariki Kwa mitumbwi miaka elfu 60 iliyopita na wala hawakuwa watumwa walifika pekee Yao.

Vasco da Gama kawaelezea Kwa uchache kweli walipojaribu kuweka nanga visiwani humo Karne ya 15 akielekea Goa India walikabiliwa na upinzani mkali Kwa kurushiwa mishale ikabidi waondoke.

Sasa hivi idadi Yao imeshuka wamebaki 450 tu. Serikali ya India imeamua kuwaacha waishi wanavyopenda bila bughudha na kutoruhusu watalii wowote hasa kutoka magharib ambao wanausongo sana kuwatembelea ndugu zetu hao India Kwa sabab kinga za mwilini mwao ni dhaifu na wakipata maambikiz kama magonjwa ya Surua itawafyeka.

Kuna wahindi walikuwa wanawaingiza watalii wazungu kinyemela visiwani humo nyakati za usiku ila wamekamatwana serikali ya India nakuchukuliwa hatua kali.

Mwaka huu binti wakabila hili la Jarawa alizaa mtoto chotara ikabidi wazee wanaume wa kabila hili wakizamishe baharin. Msemaji wa serikali ya India alisema hawez kuingilia mambo ya hao watu wamewaacha wajitawale wenyewe.

Vyakula wanavyokula ni mizizi, nguruwe pori, samaki na madafu sana sana.

Very interesting

Soma Kufuatana majadiliano ya kisasa kati ya wataalamu hawakubali hao watu wa Andamani walitoka moja kwa moja kutoka Afrika. Siku hizi wanaona watu wote wa Ulaya na Asia kiasili walitoka Afrika. Inaaminiwa walitoka kwa miguu wakifuata pwani walipopata chakula cha samaki na kome.

Soma makala ya Wikipedia:
the Andaman Islands were settled less than 26,000 years ago, by people who were not direct descendants of the first migrants out of Africa.[7][note 1] According to Wang et al. (2011),[8]


...the Andaman archipelago was likely settled by modern humans from northeast India via the land-bridge which connected the Andaman archipelago and Myanmar around the Last Glacial Maximum (LGM), a scenario in well agreement with the evidence from linguistic and palaeoclimate studies.

It was previously assumed that the Andaman ancestors were part of the initial Great Coastal Migration that was the first expansion of humanity out of Africa, via the Arabian peninsula, along the coastal regions of the Indian mainland and toward Southeast Asia, China, and Oceania.[9][10] The Andamanese were considered to be a pristine example of a hypothesized Negrito population, which showed similar physical characteristics, and was supposed to have existed throughout southeast Asia.
 
Back
Top Bottom