Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Kawaida tu. Mbona kuna kisiwa hapo chini kabla ya madagascar hawa watu waliishi.
Mmarekani na mwingereza wakanunua wakahamisha wakazi wote kwenda mtoni.
Sasa ni military Base yao na jamaa wako England wanadai ardhi yao warudishiwe.
 
Story nilianza kuiamini, lakini tatizo hiyo picha imepatikanaje kama utafiti inakuwa ngumu kufanyika?
kaka image hujengeka unaposikia...hiyo picha ipo imaginary..mfano ukiambiwa joka lenye vichwa saba na msitu mnene hapo utajenga picha ...au hujakaa na babu ako nn
 
Ukigoogle jina la hicho kisiwa hiyo picture ni moja ya pictures unazokutana nazo, hata watu wa huko inaelekea ni kama cannibals
 
Wazungu wabaguzi sana. Hicho Kisiwa kipo India Ila wanatuonyesha Wanaoishi humo ni Waafrika.
Eti kisa wamesema ni Watu wa ajabu na Wakutisha. Watu weusi wanatumika kama alama ya vitu vya ajabu, kutisha , kuogopwa.
Sanaaa mkuu hawaj majaa wabaguzi minima


Search
The beautiful black women
Na
The beautiful white women


Kwenye image
Niwashenz sanaaaa
 
Back
Top Bottom